Uvuvi wa kasa wapigwa marufuku
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ni marufuku kwa wavuvi kuvua samaki aina ya kasa katika eneo la bahari ya Zanzibar ambapo viumbe hao wapo katika hatari ya kutoweka duniani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Jan
Wapiga ramli wapigwa marufuku
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.
Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Wanariadha wakenya wapigwa marufuku
Wanariadha wawili wa Kenya Viola Chelangat Kimetto na Joyce Jemutai Kiplimo, wamepataikana na hatia ya kutumia dawa za kusisimua misuli na kupigwa marufuku kwa miaka 2
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku
Bunge la Ufaransa limeidhinisha sheria inayopiga marufuku tabia ya makampuni ya wanamitindo nchini humo kutumia wasichana wembamba
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku
Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Wavuvi haramu Mwanzugi wapigwa marufuku
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi Kanda ya Kati, imewaagiza watu wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi, wilayani Igunga, mkoani Tabora waache na endapo wataendelea kukaidi amri hiyo hatua...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Upigaji busu hadharani wapigwa marufuku
Kijiji kimoja nchini India kilichopo katika jimbo la kusini magharibi kimepiga marufuku upigaji busu wa hadharani
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Uuzaji wa hisa za MTN wapigwa marufuku
Uuzaji na ununuzi wa hisa za kampuni kubwa zaidi barani Afrika ya huduma za simu MTN zimepigwa marufuku baada ya kudorora kwa bei
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku
Kamati ya maadili ya shirikisho la riadha duniani IAAF limewapiga marufuku kwa muda viongozi watatu wa shirikisho la riadha la Kenya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania