Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uuzaji wa hisa za MTN wapigwa marufuku

Uuzaji na ununuzi wa hisa za kampuni kubwa zaidi barani Afrika ya huduma za simu MTN zimepigwa marufuku baada ya kudorora kwa bei

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

uuzaji wa hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.

TANGAZO MAALUM  NA MUHIMU Ninapenda kuwatumia Watanzania wote habari hii kuhusu hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.   Kuna wenye uzoefu wa kufanya shughuli hizi za ununuzi na uuzaji wa hisa lakini kuna wengine ambao wangependa kuanza kufanya kuwekeza kwa njia hiyo.   Ni vyema wananchi wawe na habari hizi ili wafanye uamuzi unaofaa badala ya kutokujihusisha na shughuli hii kwa sababu ya kukosa habari au kutokufahamu...

 

10 years ago

GPL

UUZAJI HISA BENKI YA WALIMU WAZINDULIWA RASMI

Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa wakiketi. Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Sehemu ya wageni…

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATANGAZA MATOKEO YA UUZAJI WA HISA STAHILI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa....

 

9 years ago

StarTV

Serikali yapiga marufuku uuzaji matunda yaliyokatwa

Serikali imetoa tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu kuendelea kuwa tishio kwa baadhi ya mikoa nchini tangu ugonjwa huo uliporipotiwa Agosti 15 mwaka huu.

Tahadhari hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipozungumza Jijini Dar es salaam.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kusambaa kwa ugonjwa wa Kipindupindu nchini kunaendelea kwa kasi tangu iliporipotiwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Agosti 15,...

 

9 years ago

StarTV

Uuzaji Ardhi Kiholela  Serikali  ya Wilaya  Kinondoni yapiga marufuku  

Serikali imepiga marufuku kuuza maeneo katika kata tatu zilizopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kutokana na kukithiri kwa migogoro ya ardhi.

Kata hizo ni Mabwepande, Wazo na Bunju zenye mitaa saba ambayo ni Boko, Mji mpya, Mbopo, Kihonzile, Bunju B, Mabwepande na Nyakasange.

 Kauli hiyo ilitolewa  Dar es Salaam , Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati alipokutana na viongozi wa kamati ya ardhi kwa lengo la  kutoa maazimio yao kuhusu utatuzi wa migogoro ya ardhi ndani ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je Kupiga marufuku uuzaji pombe ni suluhisho la kuzuia maambukizi?

Mwandishi wa BBC Andrew Harding anaangazia marufuku ya uuzaji pombe wakati wa amri ya kutotoka nje nchini Afrika Kusini.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakatishaji fedha, marufuku soko la hisa

Dunia ya sasa watu wanafanya kila mbinu ili watajirike, kuna ambao wanatajirika kwa njia ambazo ni halali na wengine kwa njia zisizo halali kama kufanya uharamia, kupata fedha kupitia ugaidi, rushwa, magendo pamoja na kukwepa kulipa kodi.

 

10 years ago

Habarileo

Uvuvi wa kasa wapigwa marufuku

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdilahi Jihadi HassanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ni marufuku kwa wavuvi kuvua samaki aina ya kasa katika eneo la bahari ya Zanzibar ambapo viumbe hao wapo katika hatari ya kutoweka duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku

Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani