Uuzaji Ardhi Kiholela  Serikali ya Wilaya Kinondoni yapiga marufuku Â
Serikali imepiga marufuku kuuza maeneo katika kata tatu zilizopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kutokana na kukithiri kwa migogoro ya ardhi.
Kata hizo ni Mabwepande, Wazo na Bunju zenye mitaa saba ambayo ni Boko, Mji mpya, Mbopo, Kihonzile, Bunju B, Mabwepande na Nyakasange.
Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam , Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati alipokutana na viongozi wa kamati ya ardhi kwa lengo la kutoa maazimio yao kuhusu utatuzi wa migogoro ya ardhi ndani ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV29 Dec
Serikali yapiga marufuku uuzaji matunda yaliyokatwa
Serikali imetoa tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu kuendelea kuwa tishio kwa baadhi ya mikoa nchini tangu ugonjwa huo uliporipotiwa Agosti 15 mwaka huu.
Tahadhari hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipozungumza Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kusambaa kwa ugonjwa wa Kipindupindu nchini kunaendelea kwa kasi tangu iliporipotiwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Agosti 15,...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0bmVotg7m7g/Vk2LdGRwQRI/AAAAAAAIGvQ/RA1awx_6R8U/s72-c/MKULIMA.jpg)
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UUZAJI, UNUNUZI WA KARAFUU KWA ‘VIKOMBE’ KUEPUSHA WIZI NA UKATAJI MIKARAFUU.
![](http://1.bp.blogspot.com/-0bmVotg7m7g/Vk2LdGRwQRI/AAAAAAAIGvQ/RA1awx_6R8U/s640/MKULIMA.jpg)
Na Ali MohamedSERIKALI imepiga marufuku uuzaji na ununuzi wa karafuu usio rasmi (vikombe) kuepusha wizi wa karafuu mashambani na ukataji wa mikarafuu unaofanywa na baadhi ya watu kutokana na kuzoeleka kwa biashara hiyo.
Wakizungumza katika nyakati tofauti Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wamesema hakuna ruhusa kwa mtu yoyote kuuza au kununua karafuu mbichi au kavu...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Zahanati Kinondoni zajengwa kiholela
10 years ago
Habarileo07 Oct
Lowassa aonya wanaouza ardhi kiholela
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema kuwa tatizo la ardhi wilayani Monduli mkoani Arusha ni kubwa kuliko inavyofikiriwa na umasikini unapiga hodi kwa kasi kubwa katika wilaya hiyo, kutokana na uuzwaji holela wa ardhi kwa thamani ndogo.
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Uuzaji wa hisa za MTN wapigwa marufuku
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-F8TU-QFj4Sk/VoKd1klhp-I/AAAAAAAIPOk/WkiY2Zas_ro/s72-c/100e1f06-adfb-411b-867d-1534d83922b8.jpg)
Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula astukizia baraza la ardhi kinondoni
![](http://4.bp.blogspot.com/-F8TU-QFj4Sk/VoKd1klhp-I/AAAAAAAIPOk/WkiY2Zas_ro/s640/100e1f06-adfb-411b-867d-1534d83922b8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9OTejzAZrYk/VoKd2oURfAI/AAAAAAAIPOo/xUJwh-Y8YSI/s640/614bcd92-6870-4c04-90bd-03cc7891e0ae.jpg)
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Je Kupiga marufuku uuzaji pombe ni suluhisho la kuzuia maambukizi?
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Somalia yapiga marufuku Krismasi
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...