Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku

Bunge la Ufaransa limeidhinisha sheria inayopiga marufuku tabia ya makampuni ya wanamitindo nchini humo kutumia wasichana wembamba

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Wapiga ramli wapigwa marufuku

SERIKALI imewapiga marufuku wapiga ramli wote nchini kwani wanavunja sheria kwa kuwadanganya wananchi wapeleke viungo vya albino ili kupata utajiri na uongozi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.

Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wakenya wapigwa marufuku

Wanariadha wawili wa Kenya Viola Chelangat Kimetto na Joyce Jemutai Kiplimo, wamepataikana na hatia ya kutumia dawa za kusisimua misuli na kupigwa marufuku kwa miaka 2

 

10 years ago

BBCSwahili

Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku

Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.

 

10 years ago

Habarileo

Uvuvi wa kasa wapigwa marufuku

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdilahi Jihadi HassanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ni marufuku kwa wavuvi kuvua samaki aina ya kasa katika eneo la bahari ya Zanzibar ambapo viumbe hao wapo katika hatari ya kutoweka duniani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi haramu Mwanzugi wapigwa marufuku

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi Kanda ya Kati, imewaagiza watu wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi, wilayani Igunga, mkoani Tabora waache na endapo wataendelea kukaidi amri hiyo hatua...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uuzaji wa hisa za MTN wapigwa marufuku

Uuzaji na ununuzi wa hisa za kampuni kubwa zaidi barani Afrika ya huduma za simu MTN zimepigwa marufuku baada ya kudorora kwa bei

 

10 years ago

BBCSwahili

Upigaji busu hadharani wapigwa marufuku

Kijiji kimoja nchini India kilichopo katika jimbo la kusini magharibi kimepiga marufuku upigaji busu wa hadharani

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku

Kamati ya maadili ya shirikisho la riadha duniani IAAF limewapiga marufuku kwa muda viongozi watatu wa shirikisho la riadha la Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani