Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Kwanini ni marufuku kupeana mikono na busu?

Nchi kadhaa duniani zimepiga marufuku kupeana salamu kwa njia ya kushikana mikono hata kuvunja tamaduni walizojiwekea miaka mingi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Marufuku kupeana mikono Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa jijini hilo kuchukua hadhari za kiafya ikiwamo kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono kutokana na mlipuko wa kipindupindu ambao mpaka sasa umeshawapata watu 56, kati yao watatu wamefariki dunia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini kunawa mikono ni vigumu katika baadhi ya nchi zinazoendelea

Ushauri wa WHO ni vigumu kuzingatiwa katika mataifa yanayoendelea.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini Rwanda imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje?

Marufuku ya kutotoka nje ilikuwa imalizike mwishoni mwa juma hili, lakini mambo hayajawa kama ilivyopangwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Upigaji busu hadharani wapigwa marufuku

Kijiji kimoja nchini India kilichopo katika jimbo la kusini magharibi kimepiga marufuku upigaji busu wa hadharani

 

10 years ago

Bongo5

Ni marufuku kwa wanafunzi kupigana busu kwenye chuo kikuu cha Zimbabwe

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho. Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu. “Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Fahamu kwanini idadi ya vifo vya coronavirus iko juu Italy?

Mlipuko wa virusi vya corona unaendelea kuliathiri pakubwa taifa la Itali, huku hospitali zikishindwa kumudu idadi ya maambukizi mbali na kuwekwa kwa sheria ya kutotoka nje.

 

5 years ago

Michuzi

DC NDEJEMBI APIGA MARUFUKU BIASHARA ZISIZO NA VITAKASA MIKONO NDANI YA WILAYA YA KONGWA


Charles James, Michuzi TV

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepiga marufuku biashara zozote ndani ya wilaya hiyo ambazo hazina vifaa vya kujikinga na corona.

DC Ndejembi amewataka wafanyabiashara wote kuhakikisha wanaweka maji ya kunawa yanayotiririka, sabuni au vitakasa mikono ikiwa ni jitihada za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu maarufu Corona.

Akizungumza katika mkutano wake na watendaji wa kata zote za wilaya hiyo, DC Ndejembi pia amewataka watendaji hao...

 

5 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchinjwaji wa punda, je ni kwanini?

Serikali ya Kenya imetangaza marufuku ya uchinjwaji wa punda nchini huko ili kuzuwia ku kutokomea kwa wanyama hao ambao idadi yao inasemekana kupundua.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uhaba wa sabuni za kunawa mikono washuhudiwa Kenya

Wakenya wamininika kwa wingi katika maduka ya jumla kununua bidhaa za kuua vijidudu vya kuua viini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani