Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku kupeana mikono Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa jijini hilo kuchukua hadhari za kiafya ikiwamo kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono kutokana na mlipuko wa kipindupindu ambao mpaka sasa umeshawapata watu 56, kati yao watatu wamefariki dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini ni marufuku kupeana mikono na busu?

Nchi kadhaa duniani zimepiga marufuku kupeana salamu kwa njia ya kushikana mikono hata kuvunja tamaduni walizojiwekea miaka mingi.

 

5 years ago

Michuzi

DC NDEJEMBI APIGA MARUFUKU BIASHARA ZISIZO NA VITAKASA MIKONO NDANI YA WILAYA YA KONGWA


Charles James, Michuzi TV

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepiga marufuku biashara zozote ndani ya wilaya hiyo ambazo hazina vifaa vya kujikinga na corona.

DC Ndejembi amewataka wafanyabiashara wote kuhakikisha wanaweka maji ya kunawa yanayotiririka, sabuni au vitakasa mikono ikiwa ni jitihada za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu maarufu Corona.

Akizungumza katika mkutano wake na watendaji wa kata zote za wilaya hiyo, DC Ndejembi pia amewataka watendaji hao...

 

9 years ago

Habarileo

Zabuni za kupeana zamchefua JK

RAIS Jakaya Kikwete amekemea tabia ya kugawana zabuni kwa `kujuana’, tena bila ya kuzingatia uwezo wa kampuni zinazopewa kazi mbalimbali za serikali, ikiwamo ujenzi wa barabara nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme kupeana dola bilioni 32

Mwanamfale wa Saudi Arabia Alwaleed Bin Talal amesema anatoa mali yake yote kwa hisani

 

10 years ago

Michuzi

TIC NA TRA ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUSHIRIKIANA KATIKA KUPEANA TAARIFA NA TAKWIMU

 Mkurugenzi Mtendaji Wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania ( TIC),Juliet Kairuki (kushoto) akizungumza machache katika mkutano baina ya TIC na uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ulioambatana na kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya kushirikiana katika kupeana taarifa na takwimu ambao utakuza maslahi ya kiutendaji katika taasisi hizo.Wa pili kushoto ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade.Mkurugenzi Mtendaji Wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania ( TIC),Juliet Kairuki...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda marufuku katikati ya jijin Dar

MADEREVA wa bodaboda mkoani Dar es Salaam wameendelea kubanwa kuingia katikati ya jiji na sasa wameelekezwa mipaka yao na maeneo wanayotakiwa kuishia.

 

11 years ago

Habarileo

Vipodozi vilivyopigwa marufuku vyauzwa Dar

LICHA ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kupiga marufuku vipodozi vyenye viambata vya sumu, vimeendelea kuuzwa katika masoko yaliyopo jijini hapa huku vingine vikiisha muda wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba mchanga, ‘vigodoro’ wapigwa marufuku Dar es Salaam

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam imechukua uamuzi mgumu wa kupiga marufuku baadhi ya mambo yaliyozoeleka kwa wakazi wa jiji hili.

 

9 years ago

Mtanzania

Dar yapiga marufuku vyakula mitaani kudhibiti kipindupindu

SaidiMeckSadickNa Waandishi wetu, Dar es Salaam

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amepiga marufuku uuzwaji wa vyakula na matunda katika maeneo yasiyorasmi.

Agizo hilo limelenga kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu unaoendelea kusambaa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo hadi sasa watu watatu wameripotiwa kupoteza maisha.

Sadick alitoa amri hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kusema wagonjwa wa kipindupindu wamefikia 56.

“Wagonjwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani