Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipodozi vilivyopigwa marufuku vyauzwa Dar

LICHA ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kupiga marufuku vipodozi vyenye viambata vya sumu, vimeendelea kuuzwa katika masoko yaliyopo jijini hapa huku vingine vikiisha muda wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TFDA YATOA TAHADHARI YA KUWEPO KWA VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VILIVYOPIGWA MARUFUKU NA SERIKALI

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya TFDA Dar es Salaam leo, wakati akitoa tahadhari ya uwepo katika soko wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa marufuku na Serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu. Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu (kushoto), akizungumza katika mkutano huo huku akionesha moja ya kopo lenye kipodozi vilivyopigwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yapiga marufuku vipodozi 200

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imepiga marufuku vipodozi 222, baada ya kugundulika kuwa vina viambata vyenye sumu. Kaimu Meneja wa TFDA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Rodney Alananga,...

 

9 years ago

Mtanzania

TFDA yapiga marufuku aina 36 za vipodozi nchini

hiiti_b_silloESTHER MNYIKA NA MGENI SHABANI DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imezuia utengenezaji wa vipodozi tofauti 36 vya   krimu na losheni ambavyo vimebainika  kuwa na viambato vya steroids vilivyopigwa marufuku.

Vipodozi vilivyobainika kuwa na viambato  vilivyopigwa marufuku ni pamoja na siri moisturizing cream lemon, cocoa butter krimu,siri moisturizing  cream lemon,lovely body cream lemon, lovely body cream.

Uamuzi huo umechukuliwa baada ya kufanyika uchunguzi wa kina kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Karibu ZuRii House of beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi @Dar Free Market

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi

untitled3

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi.

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi

Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi

*Kufunguliwa rasmi Januari 12, 2015

DUKA lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.

Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vyeti vya kukosa ukimwi vyauzwa Uganda

Je unaukimwi ? BBC imegundua kuwa wagonjwa wa Ukimwi wananunua vyeti gushi vya kukosa ukimwi nchini Uganda.

 

10 years ago

Mwananchi

Aishi maisha magumu na wanaye, vitu vyote vyauzwa

Maisha ya familia ya Lilian Daniel Nyihocha (36) mkazi wa kitongoji cha Kazi, Kijiji cha Rwamchanga Kata ya Manchira Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, yalibadilika kutoka familia ya watu wenye uwezo kuwa ombaomba.

 

5 years ago

BBCSwahili

Michael Jordan: Viatu vya nguli wa NBA vyauzwa kwa rekodi ya $560,000

Viatu hivyo vya mchezaji nguli wa zamai wa kikapu Michael Jordan ni vya mwaka 1985.

 

9 years ago

Mwananchi

Marufuku kupeana mikono Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa jijini hilo kuchukua hadhari za kiafya ikiwamo kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono kutokana na mlipuko wa kipindupindu ambao mpaka sasa umeshawapata watu 56, kati yao watatu wamefariki dunia.

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda marufuku katikati ya jijin Dar

MADEREVA wa bodaboda mkoani Dar es Salaam wameendelea kubanwa kuingia katikati ya jiji na sasa wameelekezwa mipaka yao na maeneo wanayotakiwa kuishia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani