TFDA YATOA TAHADHARI YA KUWEPO KWA VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VILIVYOPIGWA MARUFUKU NA SERIKALI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya TFDA Dar es Salaam leo, wakati akitoa tahadhari ya uwepo katika soko wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa marufuku na Serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Dawa na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu.
Mkurugenzi wa Dawa na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu (kushoto), akizungumza katika mkutano huo huku akionesha moja ya kopo lenye kipodozi vilivyopigwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Aug
Vipodozi vilivyopigwa marufuku vyauzwa Dar
LICHA ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kupiga marufuku vipodozi vyenye viambata vya sumu, vimeendelea kuuzwa katika masoko yaliyopo jijini hapa huku vingine vikiisha muda wake.
11 years ago
Michuzi
TFDA KUTEKETEZA VIPODOZI VISIVYOFAA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 188



11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
TFDA yapiga marufuku vipodozi 200
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imepiga marufuku vipodozi 222, baada ya kugundulika kuwa vina viambata vyenye sumu. Kaimu Meneja wa TFDA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Rodney Alananga,...
10 years ago
Mtanzania18 Aug
TFDA yapiga marufuku aina 36 za vipodozi nchini
ESTHER MNYIKA NA MGENI SHABANI DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imezuia utengenezaji wa vipodozi tofauti 36 vya krimu na losheni ambavyo vimebainika kuwa na viambato vya steroids vilivyopigwa marufuku.
Vipodozi vilivyobainika kuwa na viambato vilivyopigwa marufuku ni pamoja na siri moisturizing cream lemon, cocoa butter krimu,siri moisturizing cream lemon,lovely body cream lemon, lovely body cream.
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya kufanyika uchunguzi wa kina kwa...
11 years ago
Habarileo19 Aug
TFDA kufuatilia vyakula vyenye virutubishi
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imeandaa mpango wa ufuatiliaji wa ubora na usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwenye soko.
10 years ago
Habarileo15 Nov
TFDA yateketeza tani 6 za vipodozi
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Kanda ya Kati Dodoma (TFDA), imeteketeza vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye uzito wa tani tano na nusu vyenye thamani ya zaidi la Sh milioni 48.
9 years ago
Mwananchi15 Dec
TFDA yateketeza shehena ya vipodozi
9 years ago
Mwananchi20 Nov
TFDA yanasa vipodozi, vyakula feki