Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA KUTEKETEZA VIPODOZI VISIVYOFAA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 188

Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza akizungumza na wanahaabari (hawapo pichani) kuhusu vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Frank Mvungi. Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza, akionesha moja ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamalaka hiyo kinachotumiwa na wanawake kukuza makalio. Baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na Mamalaka ya Chakula na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TFDA YATOA TAHADHARI YA KUWEPO KWA VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VILIVYOPIGWA MARUFUKU NA SERIKALI

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya TFDA Dar es Salaam leo, wakati akitoa tahadhari ya uwepo katika soko wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa marufuku na Serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu. Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu (kushoto), akizungumza katika mkutano huo huku akionesha moja ya kopo lenye kipodozi vilivyopigwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakamatwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye thamani ya Sh157 milioni

>Jeshi la Polisi mkoani  Katavi limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo  vipande 22 vyenye uzito wa kilogramu  46 na thamani ya Sh157 milioni   wakati wakiyasafirisha kwa basi kutoka Mpanda  kwenda Mkoa wa Kigoma

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI AKABIDHIWA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 16 KUPAMBANA NA CORONA


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dk Dickson Chilongani leo.  Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona vilivyotolewa na Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma Baadhi ya vifaa ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona vilivyotolewa leo na Kanisa la Anglikana...

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA CORONA VYENYE THAMANI YA MILIONI SABA

Kiongozi wa Taasisi ya Chuo cha Mafunzo Cha Andalusia pamoja na Group la Happy Hands Zainab Bunamy (kushoto)  akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia mjema wenye dhamani ya Sh. Milioni Saba uliotole kwa niaba ya Taasisi hiyo vikiwemo vifaa vya mavazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa CORONA                              
 
 Kiongozi wa Taasisi ya Chuo cha Mafunzo pamoja na Group la Happy Hands Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vitu...

 

5 years ago

CCM Blog

BARRICK BUZWAGI YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 48

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiishukuru Kampuni ya Barrick kwa kuiunga mkono serikali katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama mgodi wa Barrick Buzwagi, Dkt. Antoinette George.(PICHA NA MALUNDE-MALUNDE 1 BLOG)
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...

 

10 years ago

GPL

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50 KUTOKA KAMPUNI YA TSN

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo.  Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN,...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50




 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

9 years ago

Dewji Blog

MSD yapeleka MOI vifaa vyenye thamani ya sh.milioni 251 zilizokuwa zitumike kujipongeza wabunge

Magari ya Bohari ya Dawa (MSD), yakishusha vifaa tiba Taasisi ya Moi kufuatia agizo la Rais Dk.John Magufuli kulitaka Bunge kutumia sh.milioni 15 kwa ajili ya kujipongeza na fedha zilizobaki kuzipeleka katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kukabiliana na uhaba wa vifaa tiba na magodoro.

Na Dotto Mwaibale

BOHARI ya Dawa (MSD) imeanza kupeleka Vifaa Tiba kwenye Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI), Vifaa ambavyo vimenunuliwa na Ofisi ya Bunge kwa agizo alilotoa Rais Dk. John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani