Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA SEPETU AJUTIA MIMBA YA KANUMBA

Mwanadada asiyeishiwa habari, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Stori: Mwandishi Wetu/Risasi
MWANADADA asiyeishiwa habari, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ wakati wa mapenzi yao. Chanzo makini kilicho karibu na Wema kilieleza kwamba,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu amlilia Kanumba kwenye hili

Wema Sepetu amedai hakuna msanii aliyejaribu kuendeleza juhudi za marehemu Steven Kanumba ili kuipeleka tasnia ya filamu kimataifa. Wema ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa wapo waliojaribu lakini bado wanahitaji kuungwa mkono. “Hilo limekwamia hapo na sifahamu kama tutaweza kujikongoja tena, wapo tunaojaribu lakini bado tunahitaji kuungwa mkono sana kuhakikisha tunafanya kama alivyofanya yeye,” alisema Wema. […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba

Ishu ya  Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.

Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.

Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Akiri Kutoa Mimba, Sheria za Nchi Zinasemaje?

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Take One hapo jana amekiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba

Kanumba alikuwa akimwambia kuwa nitakudai watoto wangu, kauli hii inamaanisha kuwa alitoa mimba zaidi ya moja.

Akizungumzia kuhusu kupata mtoto amesema anatamani sana kuwa na mtoto lakini ndio hivyo tena kahangaika sana lakini hajafanikiwa.Anadai labda wakati anatoa kuna vitu...

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WAUMIZWA NA UJUMBE WA WEMA SEPETU KUWA HANA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA

Mrembo Wema Sepetu. MASIKITIKO! Baada ya mrembo Wema Sepetu kutupia ujumbe kupitia mtandao wa Instagram kuwa si kwamba hapendi kuzaa bali hana uwezo wa kufanya hivyo mashabiki wake wengi wameonekana kuumizwa na taarifa hiyo. Wengi wa mashabiki wameonekana kumpa ple Wema na kumtia moyo kuwa ipo siku naye atapata mtoto na kuitwa mama. Wema aliamua kuandika ujumbe huo baada ya kushambuliwa na baadhi ya mashabiki wasiomtakia mema...

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani