Wema Sepetu amlilia Kanumba kwenye hili
Wema Sepetu amedai hakuna msanii aliyejaribu kuendeleza juhudi za marehemu Steven Kanumba ili kuipeleka tasnia ya filamu kimataifa. Wema ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa wapo waliojaribu lakini bado wanahitaji kuungwa mkono. “Hilo limekwamia hapo na sifahamu kama tutaweza kujikongoja tena, wapo tunaojaribu lakini bado tunahitaji kuungwa mkono sana kuhakikisha tunafanya kama alivyofanya yeye,” alisema Wema. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5AohXeCm1YYio0FYwIkGUmHxxacD6ZMgp7ncQVx-ade6kP5Hm0Rmtpslp0SNpZpBLchmWZjcFDcE2vfCAj801Y7/WEMA1.png?width=650)
WEMA SEPETU AJUTIA MIMBA YA KANUMBA
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Ombi Hili la Wema Sepetu, Likufikiae na Wewe….Tubadilike
“Watanzania wenzangu, naombeni leo tujiulize: mitandao ya kijamii ina kazi gani kama sio kuelimisha, kuendeleza na kunufaisha jamii?
Huu ni mwaka 2015. Kama kupendana bure, tushapendana vya kutosha. Kama kutukanana bila sababu, tushatukanana vya kutosha. Kama kushabikia vitu ambavyo havina msaada wowote kwa sisi na familia zetu, tushashabikia vya kutosha.
Imefika hatua ya kunyanyuana, sio kushushana. Kuelimishana, sio kusemana. Kupeana moyo, sio kukatishana tamaa.
Imefika hatua ya kutegemea...
10 years ago
Bongo Movies03 Nov
Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...
10 years ago
Bongo Movies18 Apr
Akutana na Wema Sepetu Kwenye Duka la Samaki-4
WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo mrembo wa kijijini kwa kina marehemu Kanumba alivyopagawa baada ya kumuona mwigizaji huyo katika runinga akiigiza michezo mbalimbali na kuonesha nia ya kukubali ombi la Kanumba.
Kanumba naye alimkataa kwani alijua amejirahisisha kwa sababu ya umaarufu na si penzi la dhati, akamchomolea.SASA ENDELEA...
Mwaka 2006 alijiunga katika Kampuni ya Mtitu Game First Quality ambapo aliweza kucheza sinema kama She is Johari, My Sister, Dar To Lagos, Cros My Sin, The...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMtraKm7TaRNFYHnVKAY2N0SoyvpYYtlMNSHwTlobMSJxHJoP02nXyWgF6SgG3aGVU8lrqUVyYcqk-qaj9rOHXgZ/vlcsnap87996.png)
MAHOJIANO YA WEMA SEPETU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aQAajApZMrq3E3l0rEv23-pCE9BnwVWUT6vo6gzWWonpuwN9FDyDzIzd65Ree3A0O5AlH2KzH-om-hecxaUPD3z/Kanumba4.gif?width=650)
AKUTANA NA WEMA SEPETU KWENYE DUKA LA SAMAKI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/L0tVKbTxNvs/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
Wema Sepetu: Huyu ndio “my Idol” kwenye kuigiza!!
Anaitwa Taraji Penda Herson, aliezaliwa miaka 44 iliyopita huko Washington, USA. ni moja kati ya waigizaji wakubwa wa huko Hollywood, ni mama wa mtoto mmoja na anaishi kama “Single Mother” ameshasheza tamthilia, vipindi vya televisheni na filamu mbalimbali zikiwemo Think Like a Man, Madly Madagascar ,Think Like a Man Too na No Good Deed alizozicheza miaka ya hivi karibuni.
Chakushangaza sasa majina yake mawili ya kwanza yana asili ya kiswahili kabisa “Taraji" na "Penda" wanayatafsiri...