AKUTANA NA WEMA SEPETU KWENYE DUKA LA SAMAKI
![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aQAajApZMrq3E3l0rEv23-pCE9BnwVWUT6vo6gzWWonpuwN9FDyDzIzd65Ree3A0O5AlH2KzH-om-hecxaUPD3z/Kanumba4.gif?width=650)
WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo mrembo wa kijijini kwa kina marehemu Kanumba alivyopagawa baada ya kumuona mwigizaji huyo katika runinga akiigiza michezo mbalimbali na kuonesha nia ya kukubali ombi la Kanumba. Kanumba naye alimkataa kwani alijua amejirahisisha kwa sababu ya umaarufu na si penzi la dhati, akamchomolea.SASA ENDELEA... Mwaka 2006 alijiunga katika Kampuni ya Mtitu Game First Quality ambapo aliweza kucheza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Apr
Akutana na Wema Sepetu Kwenye Duka la Samaki-4
WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo mrembo wa kijijini kwa kina marehemu Kanumba alivyopagawa baada ya kumuona mwigizaji huyo katika runinga akiigiza michezo mbalimbali na kuonesha nia ya kukubali ombi la Kanumba.
Kanumba naye alimkataa kwani alijua amejirahisisha kwa sababu ya umaarufu na si penzi la dhati, akamchomolea.SASA ENDELEA...
Mwaka 2006 alijiunga katika Kampuni ya Mtitu Game First Quality ambapo aliweza kucheza sinema kama She is Johari, My Sister, Dar To Lagos, Cros My Sin, The...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMtraKm7TaRNFYHnVKAY2N0SoyvpYYtlMNSHwTlobMSJxHJoP02nXyWgF6SgG3aGVU8lrqUVyYcqk-qaj9rOHXgZ/vlcsnap87996.png)
MAHOJIANO YA WEMA SEPETU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE
9 years ago
Bongo501 Oct
Wema Sepetu amlilia Kanumba kwenye hili
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/L0tVKbTxNvs/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
Wema Sepetu: Huyu ndio “my Idol” kwenye kuigiza!!
Anaitwa Taraji Penda Herson, aliezaliwa miaka 44 iliyopita huko Washington, USA. ni moja kati ya waigizaji wakubwa wa huko Hollywood, ni mama wa mtoto mmoja na anaishi kama “Single Mother” ameshasheza tamthilia, vipindi vya televisheni na filamu mbalimbali zikiwemo Think Like a Man, Madly Madagascar ,Think Like a Man Too na No Good Deed alizozicheza miaka ya hivi karibuni.
Chakushangaza sasa majina yake mawili ya kwanza yana asili ya kiswahili kabisa “Taraji" na "Penda" wanayatafsiri...
10 years ago
Bongo Movies21 Mar
Picha: Wema Sepetu Kwenye Uzinduzi Rasmi wa Mitsubishi ASX
Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku katika uzinduzi rasmi wa gari la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX akiwa kama balozi.
Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la gari hilo jipya ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ZBJm913D5Hk/default.jpg)