Madereva kuelimishwa athari za ulevi
JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Mwanza limejipanga kushirikiana na wadau wengine kuelimisha madereva umuhimu wa kuepuka kuendesha magari wakiwa wamelewa. Hatua hiyo inalenga kuepusha ajali katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka za Krismasi na Mwaka mpya.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Dec
Madereva waaswa, ulevi ni hatari kwa maisha yao
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria, kutotumia vinywaji vyenye ulevi na kuacha tabia ya kuongea na simu kwa kutuma au kupokea ujumbe wa maneno wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Habarileo30 Dec
Madereva waaswa kuacha ulevi, kutuma sms njiani
KAMPENI ya usalama barabarani ya kuwataka madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani iliyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe jana imeendelea katika Mkoa wa Pwani na Morogoro.
10 years ago
Habarileo04 Jan
Madereva wawili mabasi ya masafa wanaswa kwa ulevi
MADEREVA wawili wa mabasi ya masafa marefu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Singida baada ya kugundulika kutumia pombe wakati wakiwa kazini.
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Zoezi la kupima ulevi kwa madereva wa mabasi, latua Singida mjini
Mrakibu msaidizi wa polisi (ACP) mkuu wa kitengo cha elimu kwa umma makao makuu ya usalama barabarani jijini Dar-es-salaam, Abel Swai, akiwahamasisha abiria wa basi la kampuni ya France line lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Arusha mjini kutoa taarifa kwa jeshi la polisi endapo watagundua dereva mlevi,kucheleweshwa au gari ni mbovu,ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
MRAKIBU msaidizi wa polisi makao makuu kitengo cha elimu kwa umma usalama barabarani...
10 years ago
MichuziZoezi la kupima ulevi na kutokutumia simu kwa madereva wa mabasi,latua Singida
10 years ago
GPLZOEZI LA KUPIMA ULEVI NA KUTOKUTUMIA SIMU KWA MADEREVA WA MABASI,LATUA SINGIDA
10 years ago
GPLZOEZI LA KUPIMA ULEVI NA KUTOKUTUMIA SIMU KWA MADEREVA WA MABASI, LATUA SINGIDA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ebeIg2jsU5M/UynW7ZXUM9I/AAAAAAAFVEI/4v_xC6_dD3o/s72-c/unnamed+(26).jpg)
ATHARI YA MGOMO WA MUDA WA MADEREVA WA DALADALA MANISPAA YA MOROGORO LEO
9 years ago
Habarileo10 Dec
Watu milioni 10 kuelimishwa kipindupindu
WATANZANIA zaidi ya milioni 10 wanaotumia mitandao ya simu nchini, wanatarajia kunufaika kupata elimu kuhusu ugonjwa wa kipindupindu.