Watu milioni 10 kuelimishwa kipindupindu
WATANZANIA zaidi ya milioni 10 wanaotumia mitandao ya simu nchini, wanatarajia kunufaika kupata elimu kuhusu ugonjwa wa kipindupindu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania30 Sep
Kinondoni yatumia milioni 500/- kukabili kipindupindu
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetumia zaidi ya Sh milioni 500 kupambana na kipindupindu tangu kilipozuka Agosti 15 mwaka huu.
Hadi sasa watu 1194 wameugua ugonjwa huo katika Manispaa hiyo na 17 wamefariki dunia.
Akizungumza baada ya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba uliotolewa na Benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mussa Natty, alisema kila siku kuna wagonjwa wapya wanaripotiwa na jana walikuwa 15.
Msaada huo wenye thamani ya Sh milioni...
10 years ago
VijimamboWHO YATOA DAWA ZA MILIONI 42.2 KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU NCHINI
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
WHO yatoa dawa za milioni 42.2 ili kupambana na Kipindupindu nchini
Na Ally daud-Maelezo
Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii imepokea msaada wa dawa za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini kutoka Shirika la Afya Duniani zenye thamani...
10 years ago
GPL29 Sep
10 years ago
BBCSwahili18 Aug
Mlipuko wa kipindupindu waua watu 3 TZ
10 years ago
Mtanzania19 Aug
Watu 34 hoi kwa kipindupindu Dar
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
UGONJWA wa kipindupindu umezidi kushika kasi mkoani Dar es Salaam, baada ya idadi ya wagonjwa kuongezeka kutoka 27 hadi 34.
Akizungumza na MTANZANIA mjini Dar es Salaama jana, Mratibu wa Huduma za Dharura, Mkoa wa Dar es Salaam, Victoria Bura alisema kumekuwapo na ongezeko la ugonjwa huo katika Wilaya ya Kinondoni.
Alitaja maeneo yaliyoathirika na ugonjwa huo kuwa ni Kijitonyama, Makumbusho, Saranga, Manzese, Tandale, Kimara na Mwananyamala.
Kwa mujibu wa Bura,...
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Kipindupindu chawaua watu 29 Sudan Kusini
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Watu 19 wafariki dunia kwa kipindupindu
Na Benjamin Masese, Mwanza
SERIKALI imesema watu 631 mkoani Mwanza wameugua ugonjwa wa kipindupindu kati ya Januari hadi Desemba 15, mwaka huu ambapo kati yao 19 wamefariki dunia.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo wakati akizungumza na madiwani pamoja watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu wiki iliyopita.
Wakati Mulongo akitoa takwimu hizo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Lwakyendera Onesmo aliliambia MTANZNAIA jana kwamba wagonjwa wapya wameendelea...
10 years ago
Habarileo26 Aug
Dar, Moro watu 262 wana kipindupindu
WATU nane wamethibitishwa kufariki kwa ugonjwa wa kipindupindu na wengine 262 wameambukizwa maradhi hayo katika mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro. Waziri wa Afya na Usatwi wa Jamii, Dk Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa maradhi ya ugonjwa huo uliozuka hivi karibuni alisema hadi kufikia jana, kwa mkoa wa Dar es Salaam, watu saba wamefariki na wengine wapatao 230 tayari wameambukizwa ugonjwa huo.