IPTL, wengine wawili wamburuza Zitto mahakamani
.Wadai fidia ya shilingi bilioni 500
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe na wengine wawili wakitaka kulipwa fidia ya Shilingi bilioni 500 kwa kashfa alizotoa kimaandishi dhidi yao.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo mnamo tarehe 4, Septemba kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Dec
IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani
10 years ago
Habarileo19 Dec
IPTL, PAP zapinga Bunge mahakamani
KAMPUNI za Pan Africa Power Solution Tanzania Limited (PAP) na Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Harbinder Singh Sethi, wamefungua kesi ya kikatiba kupinga utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotolewa kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayodaiwa kuchotwa zaidi ya Sh bilioni 300.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Wawili wafa, wengine wajeruhiwa
WATU wawili wamefariki dunia akiwamo mtoto na wengine kujeruhiwa kwa mapanga katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara. Akielezea matukio hayo jana, Kaimu Kamanda wa...
10 years ago
GPL![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Geofrey-Kamwela-December5-2014.jpg?width=650)
PADRI, WENGINE WAWILI WAFA WAKIOGELEA
5 years ago
Michuzi10 years ago
Mtanzania10 Sep
IPTL yamshtaki Zitto
![Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Zitto-Kabwe.jpg)
Zitto Kabwe
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).
Pia IPTL imewafungulia kesi watu wengine wawili, huku wakitaka kulipwa fidia ya Sh. bilioni 500.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo Septemba 4, mwaka huu kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay Felician Mwesiga...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Vigogo wawili MSD mahakamani Dar
10 years ago
TheCitizen10 Nov
We’re facing threats over IPTL, says Zitto
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Mauzo ya IPTL yamwibua Zitto
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, ameeleza kushtushwa na taarifa za mauzo ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kwa Kampuni...