Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WENGINE WAWILI WAPONA CORONA NCHINI.



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona : Wagonjwa wawili wapona Tanzania huku 14 zaidi wakipata maambukizi Kenya

Wizara ya afya nchini Tanzania imethibitisha kuwa wagonjwa wengine wawili wamepona ugonjwa wa Corona huku nchi jirani ya Kenya ikitangaza kuwa watu wengine 14 wamepata maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.

 

5 years ago

Michuzi

Watu 552 waliokuwa wameambukizwa Corona nchini Iran wapona

 Iran imetangaza kuwa hadi sasa watu 552 waliombukizwa ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona wamepona na wamepewa ruhusa ya kurudi nyumbani kutoka hospitali.

Akizungumza na waandishi habari Jumatano hii mjini Tehran, Kianoush Jahanpour mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Umma katika Wizara ya Afya ya Iran amesema watu hao wote waliopona wako katika hali nzuri hivi sasa.

Ameongeza kuwa, hadi kufikia leo Jumatano adhuhuri kulikuwa na kesi mpya 586 za waliombukizwa kirusi cha Corona kote Iran na...

 

5 years ago

Michuzi

Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran


Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.

Alireza Raeesi, Naibu Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran ameyasema hayo leo akiongea na waandishi wa habari. Ameashiria kuwa watu 1,501 waathiriwa wa virusi vya Corona nchini Iran na kusema kwa bahati mbaya hadi sasa watu 66 wamefariki dunia kutokana na virusi hivyo.

Virusi vya Corona viliibuka...

 

5 years ago

Michuzi

Watu 913 wapona virusi vya corona nchini Iran, WHO yapongeza

Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa hadi hivi sasa watu 913 walioambukizwa virusi vya corona humu nchini wamepona na kurejea katika maisha yao ya kawaida.

Dk Kianoush Jahanpour, Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya ya Iran alitangaza habari hiyo jana Ijumaa na kuongeza kuwa, watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Iran kufikia jana ilikuwa ni 4,747, kati ya hao 124 wamepoteza maisha kutokana na virusi hivyo lakini waliopona ni watu 913.

Dk...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Watu 15 wapona corona Kenya, wagonjwa wapya 11

Hii ni idadi kubwa zaidi ya watu kupona kwa siku nchini Kenya

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa, wengine wajeruhiwa

WATU wawili wamefariki dunia akiwamo mtoto na wengine kujeruhiwa kwa mapanga katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara. Akielezea matukio hayo jana, Kaimu Kamanda wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa 23 wa corona wathibitishwa Zanzibar, wawili wafariki

Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya 23 wa virusi vya corona na vifo vya watu wawili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani