MAMA SAMIA ANOGESHA MADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA PWANI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Fedha Taslim Shilingi Milioni Tano alizochangia kwenye ujenzi wa JENGO LA ccm Mkoa wa Pwani wakati wa Harambee iliyofanyika leo Febuari 15,2020 kwenye Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Pwani leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa sabasaba Mjini kihaba ambapo Jumla ya Shilingi Milioni...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA HARAMBEE YA CCM MKOA WA PWANI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OdezeTmklgU/Xkg6RqxUtgI/AAAAAAALdgs/ChkPrBbMuY8cFiKKUM4qlLVinbr2070HACLcBGAsYHQ/s72-c/F87A2752-2.jpg)
MAADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA PWANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-OdezeTmklgU/Xkg6RqxUtgI/AAAAAAALdgs/ChkPrBbMuY8cFiKKUM4qlLVinbr2070HACLcBGAsYHQ/s640/F87A2752-2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Kngs9nwhvZU/Xm3B0yLDt4I/AAAAAAALjs8/PISqWQHwLdYax1oRT6f9QdPWl90nRaKBQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200314-WA0060.jpg)
SAMIA NA JAKAYA WAUNGANA NA WADAU KUCHANGIA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA CCM PWANI
MAKAMU wa Rais na mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wameungana na wadau , kwenye harambee ya kuchangia zaidi ya sh.milioni 500 ili kukamilisha ujenzi wa ukumbi wa CCM mkoani Pwani,":ambapo ameeleza chama hicho mkoa sio maskini badala yake waviendeleze vitega uchumi walivyonavyo.
Katika harambee hiyo, imeweza kupatikana kiasi cha sh.milioni 584.1 ikiwa fedha taslim milioni 113.4,ahadi milioni 471.6,mifuko ya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lsB2tZ1SYBw/VfalcL8IjGI/AAAAAAAADyg/ww5dqfUWcMU/s72-c/IMG_1570.jpg)
Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi
![](http://3.bp.blogspot.com/-lsB2tZ1SYBw/VfalcL8IjGI/AAAAAAAADyg/ww5dqfUWcMU/s1600/IMG_1570.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dOgyCVEL27o/VfalhQiRu5I/AAAAAAAADyo/rY8XXlFP0PI/s1600/IMG_1589.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-DA7Qkg9Y5A0/VfakC6O_KWI/AAAAAAAADxQ/eOYvgEFdW5I/s1600/IMG_1478.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-0-mTwoZiCCA/VfagrcUZhzI/AAAAAAAADuo/-eLjL-E3L18/s1600/IMG_1054.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Mama Samia akutana na Wanawake wa UWT, Walemavu na Wajasiriamali mkoa wa Dar kujua changamoto zao
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akizungumza katika mkutano huo.
Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye...
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hjZOYC_pEQ4/VI8EnFeq8xI/AAAAAAAG3ZA/mjfKpyeTrro/s72-c/Chama-Cha-Mapinduzi.jpg)
CCM YAONGOZA UCHAGUZI VIJIJI,VITONGOJI NA MITAA MKOA WA PWANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hjZOYC_pEQ4/VI8EnFeq8xI/AAAAAAAG3ZA/mjfKpyeTrro/s1600/Chama-Cha-Mapinduzi.jpg)
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimeonyesha kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji ambapo kwenye matokeo ya awali kimeonekana kushinda maeneo mengi.
Katika Jimbo la Mafia CCM ilishinda vitongoji 96 kati ya 136 sawa na asilimia 70 Chama Cha Wananchi CUF asilimia 40 sawa na asilimia 29,katika vijiji CCM ilishinda vijiji 19 kati ya 23 sawa na asilimia 82.6 CUF vijiji 4 sawa na asilimia 17.3.
Katika Jimbo la Kibaha Mjini kati ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_CStoYhtrHg/U7MX3gHfsiI/AAAAAAAFuE4/J20q-M0kdsM/s72-c/unnamed+(21).jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA BURUNDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_CStoYhtrHg/U7MX3gHfsiI/AAAAAAAFuE4/J20q-M0kdsM/s1600/unnamed+(21).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TYVAzGpq-1M/U7MX4Oood8I/AAAAAAAFuFU/hVp1pFa_V_4/s1600/unnamed+(22).jpg)
9 years ago
CCM Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-qx3PxiiBQDc/VipJrW6gT9I/AAAAAAAA0yQ/sElwH-LakoE/s72-c/1.%2BMkutano%2Bwa%2BMama%2BSamia%2Bna%2BDk.%2BShein%2BKibanda%2Bmaiti%2BZanzibar%2Bleo.jpg)
MAMA SAMIA, DK. SHEIN WAFUNGA KAZI KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-qx3PxiiBQDc/VipJrW6gT9I/AAAAAAAA0yQ/sElwH-LakoE/s640/1.%2BMkutano%2Bwa%2BMama%2BSamia%2Bna%2BDk.%2BShein%2BKibanda%2Bmaiti%2BZanzibar%2Bleo.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HLBQ-G2Y6aI/VipJoiByw5I/AAAAAAAA0yE/gKnQIyg7kDo/s320/2.%2BDk.%2BShein%2Bakimsalimia%2BMama%2BSamia%2Bmkutano%2Bwa%2BKibandamaiti%2BZanzibar%2Bleo.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5ddgPrZ2l20/VipJq11nVhI/AAAAAAAA0yM/DFhUWP7oyFk/s640/3.%2BDk.%2BShein%2Bakimsalimia%2BMzee%2Bmwinyi%2Bkwenye%2Bmkutano%2Ba%2BKibandamaiti%2BZanzibar.jpg)