Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAMIA NA JAKAYA WAUNGANA NA WADAU KUCHANGIA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA CCM PWANI

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
MAKAMU wa Rais na mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete  wameungana na wadau , kwenye harambee ya kuchangia zaidi ya sh.milioni 500 ili kukamilisha ujenzi wa ukumbi wa CCM mkoani Pwani,":ambapo ameeleza chama hicho mkoa sio maskini badala yake waviendeleze vitega uchumi walivyonavyo.
Katika harambee hiyo, imeweza kupatikana kiasi cha sh.milioni 584.1 ikiwa fedha taslim milioni 113.4,ahadi milioni 471.6,mifuko ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA OFISI NA UKUMBI LA KITEGA UCHUMI WA CCM MKOA WA PWANI


Mhandisi wa ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani  Suleiman Nassor  akimuelezea  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuhusu  Jengo hilo litakavyokuwa  wakati  Makamu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani

 Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo   katika chakula cha jioni kilichoandaliwa katika makazi Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo Kurasini jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA HARAMBEE YA CCM MKOA WA PWANI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi,  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mkoa wa Pwani  kwenye Harambee ya Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani iliyofanyika leo March 14,2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Kibaha Mjini. Jumla ya shilingi Milioni   zimechangishwa...

 

10 years ago

Michuzi

JK AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, 1.6bn/- zapatikana usiku huu diamond jubilee hall dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2...

 

5 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA ANOGESHA MADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA PWANI

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Fedha Taslim Shilingi Milioni Tano alizochangia kwenye ujenzi wa JENGO LA ccm Mkoa wa Pwani wakati wa Harambee iliyofanyika leo Febuari 15,2020 kwenye  Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Pwani  leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa sabasaba Mjini kihaba ambapo Jumla ya Shilingi Milioni...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKAGUA UKARABATI WA UKUMBI WA MKUTANO WA JAKAYA KIKWETE NA UKUMBI WA NEC

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Magufuli akimsikiliza MakamuMwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula kuhusu Maendeleo ya ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Conventionjijini Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020
Dodoma, Tanzania
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 01 Juni, 2020 amekagua maandalizi ya kumbi za mikutano na vikao vya chama vinavyotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Ndg....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani