Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Someni Katiba kabla ya kuipigia kura’

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki amesema Serikali inachapisha nakala za Katiba Pendekezwa za kutosha na kuwagawia wananchi ili waweze kuisoma kabla ya kuipigia kura Aprili 30, 2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AWASHAWISHI WANANCHI NACHINGWEA KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (Kushoto), akimsalimia Katibu wa CCM tawi la Kijiji cha Mkurupita, Kata ya Ndomoni, Nora Lwambano wakati alipokuwa akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa kata hiyo kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata hiyo, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee katika Kata hiyo. Waziri Chikawe alitoa msaada wa madaftari na...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA

Na Anna Nkinda – aliyekuwa Lindi.
Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa kwani ni bora na imegusa maeneo yote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania.
Rai hiyo imetolewa na  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria sherehe ya kushangilia ushindi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa Ruaha kata ya Mingoyo...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. JAKAYA KIKWETE AWAASA WANACCM KUIPIGIA KURA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wanaCCM katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea leo Februari 1, 2015.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi waichambue Katiba kabla ya upigaji kura

BAADA ya mvutano kuhusu mchakato wa katiba, hatimaye hivi karibuni, Bunge Maalum la Katiba chini ya Mwenyekiti, Samuel Sitta kutoka na Katiba inayopendekezwa. Hata hivyo, mvutano huo bado haujapatiwa ufumbuzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utata wa katiba umalizwe kabla ya kura ya maoni

KWA mara nyingine, Rais Jakaya Kikwete amekuja na lugha mwanana na murua juu ya hiyo tunayotakiwa tuamini ni Katiba inayolifaa taifa hili. Lakini katiba itakayopelekwa kwa wananchi kuifanyia uamuzi sio...

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Tulipaswa kupiga kura ya Muungano kabla ya Katiba Mpya

>Mpambano mkali kati ya Umoja wa Katiba ya  Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi  (CCM) unaendelea, huku suala la kupata Katiba mpya likionekana kama liwekwa kando kwa muda.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema walaani Meghji kuipigia kura Zanzibar

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitendo kilichofanywa na uongozi wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba cha kumfanya Mjumbe wa Bunge hilo, Zakia Meghji kupiga kura kama Mzanzibar badala ya ‘Mtanzania Bara’ ni ‘uhuni’ unaotakiwa kuchukuliwa hatua na wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Vijana someni Katiba Inayopendekezwa’

Vijana wametakiwa kuisoma Katiba Inayopendekezwa kwa umakini na kuvielewa vipengele vilivyopo katika Ibara zote ili wafanye uamuzi sahihi.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy MwalimuSERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani