‘Vijana someni Katiba Inayopendekezwa’
Vijana wametakiwa kuisoma Katiba Inayopendekezwa kwa umakini na kuvielewa vipengele vilivyopo katika Ibara zote ili wafanye uamuzi sahihi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
Dk. Sheni: Someni katiba na kuzielewa sheria
NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
WAKUU wa mikoa na wilaya wametakiwa kuisoma mara kwa mara na kuielewa katiba pamoja na sheria nyingine za nchi.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni, alitoa agizo na kusema wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kila siku, wanapaswa kuzingatia katiba na sheria.
Alitoa agizo hilo jana, alipokuwa akifungua mkutano elekezi kwa wakuu wa mikoa na wilaya za Zanzibar.
Alizitaja baadhi ya sheria ambazo wakuu hao wanapaswa kuzielewa na kuzitekeleza kila siku ni pamoja na...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
‘Someni Katiba kabla ya kuipigia kura’
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki amesema Serikali inachapisha nakala za Katiba Pendekezwa za kutosha na kuwagawia wananchi ili waweze kuisoma kabla ya kuipigia kura Aprili 30, 2015.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow†ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.
10 years ago
GPL
KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’
Tundu Lisu. UKITAKA kuwaudhi Watanzania wengi – wasomi na wajinga, wafupi na warefu, walevi na wasiotumia vileo – unachotakiwa kufanya ni kutaja makosa aliyoyafanya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere akiwa madarakani. Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, katika mijadala ya kuweka mambo sawa kitaifa, aliposema: “Nyerere hakuwa Mungu†akimaanisha yaliyofanywa na kusemwa...
11 years ago
GPL
MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...
11 years ago
GPL
BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo…
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Vijimambo30 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa



11 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania