Dk. Sheni: Someni katiba na kuzielewa sheria
NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
WAKUU wa mikoa na wilaya wametakiwa kuisoma mara kwa mara na kuielewa katiba pamoja na sheria nyingine za nchi.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni, alitoa agizo na kusema wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kila siku, wanapaswa kuzingatia katiba na sheria.
Alitoa agizo hilo jana, alipokuwa akifungua mkutano elekezi kwa wakuu wa mikoa na wilaya za Zanzibar.
Alizitaja baadhi ya sheria ambazo wakuu hao wanapaswa kuzielewa na kuzitekeleza kila siku ni pamoja na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Walimu watakiwa kuzielewa sheria za utumishi
CHAMA cha Walimu (CWT) wilayani Morogoro, kimewataka walimu wote wa shule za msingi na sekondari wilayani humo kuzisoma mara kwa mara sheria za utumishi wa umma, kuzielewa na kuzitumia ipasavyo...
10 years ago
Mwananchi17 Oct
‘Vijana someni Katiba Inayopendekezwa’
10 years ago
Mwananchi06 Dec
‘Someni Katiba kabla ya kuipigia kura’
10 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3brXBUnauTg/default.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Aug
Dk. Sheni apangua mawaziri, Ma-RC
Na mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya. Mabadiliko hayo yanalenga kuendelea kuimarisha utendaji wa shughuli za serikali na tayari jana, amewaapisha wateule wote katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Walioapishwa jana ni Dk. Sira Ubwa Mamboya, ambaye anakuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili. Aliyekuwa Waziri wa Afya, Juma Duni Haji, amebadilishwa kwenda kuongoza Wizara ya Miundombinu...
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Aug
Dk. Sheni ataka kuboreshwa uchunguzi wa afya
NA MWANDISHI WETU
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amezitaka nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Bara la Afrika kuimarisha huduma za maabara na utoaji wa elimu na uchunguzi wa maradhi ‘pathologia’.
Aliyasema hayo jana katika ukumbi wa Mikutano wa Afrika Mashariki, mjini Arusha, wakati akifungua Mkutano wa 12 wa Jumuiya ya APECSA kutoka Kanda ya Mashariki, Kati na Kusini mwa bara la Afrika.
Mkutano huo ambao hufanyika kila baada ya miaka miwili, kwa mwaka huu pia ulijumuisha...
10 years ago
Uhuru NewspaperDK. SHENI ALIPOHUTUBIA MKUTANO WA CCM ZANZIBAR