Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Sheni ataka kuboreshwa uchunguzi wa afya


NA MWANDISHI WETU
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amezitaka nchi za  Mashariki, Kati na Kusini mwa Bara la Afrika kuimarisha huduma za maabara na utoaji wa elimu na uchunguzi wa maradhi ‘pathologia’.
Aliyasema hayo jana katika ukumbi wa Mikutano wa Afrika Mashariki, mjini Arusha, wakati akifungua Mkutano wa 12 wa Jumuiya ya APECSA kutoka Kanda ya Mashariki, Kati na Kusini mwa bara la Afrika.
Mkutano huo ambao hufanyika kila baada ya miaka miwili, kwa  mwaka huu pia ulijumuisha...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Huduma za afya Z’bar kuboreshwa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.WIZARA ya Afya Zanzibar imeeleza azma yake ya kuendelea kuhakikisha kwamba wananchi wa Zanzibar wanapata huduma bora za kinga na tiba bila ya ubaguzi wa aina yoyote.

 

10 years ago

Mwananchi

JK azindua kituo cha Azam TV, ataka kuboreshwa kwa maslahi ya waandishi wa habari

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wamiliki wa vyombo vya habari nchini kuwajengea uwezo waandishi wa habari kwa kuwapatia mafunzo kila mara, pamoja na kuboresha maslahi yao kwani wakishindwa kuwalipa vizuri, waandishi hao watalipwa na watu wa mitaani jambo ambalo linaweza kupunguza weledi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka matokeo ya uchunguzi Ruvu Juu

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameitaka Wizara ya Maji kuueleza umma juu ya matokeo ya uchunguzi wa kubaini kama tatizo linalojirudia kwenye mtambo wa maji wa Ruvu Juu ni masuala...

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo muhimu ya uchunguzi afya ya mwanaume

Kupima afya ni muhimu kwa wanaume, hata kama hawana dalili za magonjwa. Madaktari bingwa wa magonjwa ya tiba wanapendekeza wanaume wafanyiwe uchunguzi wa afya kila mwaka.

 

10 years ago

Mwananchi

PIRAMIDI YA AFYA: Uchunguzi wa ugumba kwa wanaume

>Juma lililopita tuliweza kuona sababu mbalimbali zinazochangia ugumba kwa wanaume, leo tunaendelea na sehemu ya pili ya uchunguzi na matibabu.

 

10 years ago

Michuzi

JK AKAGUA Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu UDOM

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali na  Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dododma Profesa Shaaban Mlacha (mbele) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (kulia) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni uwekaji wa samani na vifaa vya kufanyia kazi ili kitovo hicho kianzi...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI UPUNGUFU MBALIMBALI


Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.
Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametaja mapungufu yaliyobainishwa na kamati hiyo kuwa moja kati ya mashine...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI MAPUNGUFU MBALIMBALI


Na WAMJW – Dar es Salaam

Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.

Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametaja mapungufu yaliyobainishwa na kamati hiyo kuwa moja kati ya mashine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani