Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK azindua kituo cha Azam TV, ataka kuboreshwa kwa maslahi ya waandishi wa habari

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wamiliki wa vyombo vya habari nchini kuwajengea uwezo waandishi wa habari kwa kuwapatia mafunzo kila mara, pamoja na kuboresha maslahi yao kwani wakishindwa kuwalipa vizuri, waandishi hao watalipwa na watu wa mitaani jambo ambalo linaweza kupunguza weledi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA AZAM TV

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi huo, tayari kwa matumizi.   Rais Kikwete akitoa hotuba…

 

5 years ago

Michuzi

KITUO CHA HABARI, AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA(CIPSA) KIMEWAHIMIZA WATANZANIA KUTUMIA HABARI NA TAKWIMU SAHIHI KWA MAEDELEO

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii

KATIKA kuelekea Siku ya Data wazi Duniani, Asasi ya Kituo cha Habari, Amani na Usalama Barani Afrika(CIPSA) umetoa mwito kwa raia kuendelea utamaduni wa kufuatilia habari sahihi na uwazi ili kuwasaidia katika kusukuma maendeleo yao ya kibinafsi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam leo hii katika kile alichokiita wiki ya uhamasishaji kupata habari sahihi kuhusu maendeleo yao kuelekea kilele cha siku ya data wazi duniani Machi 7 mwaka huu, Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Maslahi ya mahakimu, majaji kuboreshwa

Balozi Seif Ali Iddi SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuboresha maslahi ya majaji na mahakimu. Aidha, imetaka wawe waadilifu na wasimamie haki katika kazi zao ili wananchi wajenge matumaini kwao.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA AZINDUA KITUO CHA MSAADA KWA WAHANGA WA UKATILI

Mkurugenzi wa Shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO) akimpokea Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka aliyefika kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia.Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akifurahia jambo mara wakati akitembelea majengo ya kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia ambayo yamejengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Finland kupitia wizara ya mambo ya nje ya nchi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA ,ANTILA SINIKKA AZINDUA KITUO CHA MSAADA KWA WAHANGA WA UKATILI.


Mkurugenzi wa Shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO) akimpokea Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka aliyefika kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia.
Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO)wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo hicho. 
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akifurahia jambo mara wakati akitembelea...

 

9 years ago

Vijimambo

UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25

Lucy Patrick
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana  ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA DKT SEIF RASHID AZINDUA KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA LEO.

Pichani juu na chini ni Mgeni rasmi Waziri wa Afya,Dkt.Seif Rashid akizungumza wakati wa kuzindua kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo kauli mbiu ya kongamano hilo ni ''Tanzania na Huduma bora za matibabu inawezekana''.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Bwa.Hamisi Mdee  akizungumza katika kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani