Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITUO CHA HABARI, AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA(CIPSA) KIMEWAHIMIZA WATANZANIA KUTUMIA HABARI NA TAKWIMU SAHIHI KWA MAEDELEO

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii

KATIKA kuelekea Siku ya Data wazi Duniani, Asasi ya Kituo cha Habari, Amani na Usalama Barani Afrika(CIPSA) umetoa mwito kwa raia kuendelea utamaduni wa kufuatilia habari sahihi na uwazi ili kuwasaidia katika kusukuma maendeleo yao ya kibinafsi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam leo hii katika kile alichokiita wiki ya uhamasishaji kupata habari sahihi kuhusu maendeleo yao kuelekea kilele cha siku ya data wazi duniani Machi 7 mwaka huu, Mkurugenzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Takwimu sahihi na za wakati zitasaidia kuleta maendeleo kwa haraka barani Afrika

PICHA-NAMBA-4

Waziri Mkuu wa Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akiwahutubia washiriki mbalimbali kutoka barani Afrika (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda.  (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA).

Na Veronica Kazimoto, Kampala

WITO umetolewa kwa washiriki wote wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika kuelendelea kutoa takwimu sahihi na kwa wakati ili kuleta maendeleo yanayokusudiwa ya...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika, akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi Mwandamizi. Bw....

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA YAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Mnasa Nyerembe akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magese Mulongo ya kufunga Warsha ya siku tatu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha. Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Afrika na nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz kwa pamoja na Balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Afrika Mhe. Konjit Sinegiorgis wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Nyerembe (hayupo...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA YAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Mnasa Nyerembe akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magese Mulongo ya kufunga Warsha ya siku tatu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Afrika na nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz kwa pamoja na Balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Afrika Mhe. Konjit Sinegiorgis wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Nyerembe (hayupo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA RASMI WARSHA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akifungua rasmi Warsha ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano huo unaofanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 21 hadi 23 Oktoba, 2014 na itawahusisha Wajumbe Maalum, Wasuluhishi, Mabalozi na Wataalam wa masuala ya Amani. Kaulimbiu ya warsha hiyo ni "Silencing the Guns-Owning the Future" na inalenga kujadili...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA

 Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu  katika Umoja wa Afrika (katikati), akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Habari muhimu barani Afrika mwaka huu

Hizi ndizo habari muhimu zilizotokea barani Afrika,je unaweza kuzikumbuka vipi?Angalia kanda hii ya video kwa sekunde 60.

 

9 years ago

Michuzi

WATAALAM WA TAKWIMU KUTOKA OFISI ZA TAKWIMU BARANI AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afrika Kusini Risenga Maluleke akizungumza leo na waandishi wa habari kuhusu madhumuni ya mkutano wa watalaam wa takwimu kutoka nchi mbalimbali barani Afrika ambapo wamekutana kujadili Mfumo wa Uongozi Bora katika Ofisi za Takwimu pamoja na Uboreshaji wa Mitaala ya Ufundishaji wa Masomo ya Takwimu. Mkutano huo ni wa siku tano na unafanyika katika hoteli ya Golden Tulip iliyopo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

 



Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600              

 


                20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAMEREJEA NYUMBANI

Kundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani