Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA RASMI WARSHA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akifungua rasmi Warsha ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano huo unaofanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 21 hadi 23 Oktoba, 2014 na itawahusisha Wajumbe Maalum, Wasuluhishi, Mabalozi na Wataalam wa masuala ya Amani. Kaulimbiu ya warsha hiyo ni "Silencing the Guns-Owning the Future" na inalenga kujadili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA YAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Mnasa Nyerembe akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magese Mulongo ya kufunga Warsha ya siku tatu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Afrika na nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz kwa pamoja na Balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Afrika Mhe. Konjit Sinegiorgis wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Nyerembe (hayupo...

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA YAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Mnasa Nyerembe akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magese Mulongo ya kufunga Warsha ya siku tatu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha. Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Afrika na nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz kwa pamoja na Balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Afrika Mhe. Konjit Sinegiorgis wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Nyerembe (hayupo...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika, akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi Mwandamizi. Bw....

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAID DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA AMANI BARANI AFRIKA, LEO JIJINI ARUSHA

 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo, wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo oktoba 21/2014 katika ukumbi wa Maunt Meru Hotel jijini Arusha. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo,...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA

 Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu  katika Umoja wa Afrika (katikati), akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar Es Salaam, leo Mei 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL A AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAFANYABIASHARA WA BIMA BARANI AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. M ohammed Gharib Bilal, akiongozana na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar Es Salaam, leo Mei 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR

Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.


Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani