Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maslahi ya mahakimu, majaji kuboreshwa

Balozi Seif Ali Iddi SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuboresha maslahi ya majaji na mahakimu. Aidha, imetaka wawe waadilifu na wasimamie haki katika kazi zao ili wananchi wajenge matumaini kwao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

SMZ kuimarisha maslahi ya majaji, mahakimu

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Abubakar Khamis Bakary amesema maslahi ya majaji na mahakimu ikiwemo nyongeza za mishahara yataimarishwa katika mwaka wa fedha 2014-2015 kwa ajili ya kupunguza vishawishi vya rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Majaji, Mahakimu wawekwa kikaangoni

>Mahakama imeanza kutekeleza mpango kabambe wa kuondoa mrundikano wa kesi na kwa mara ya kwanza katika historia ya mhimili huo nchini, majaji na mahakimu wamewekewa malengo ya kesi wanazopaswa kusikiliza na kuzitolea uamuzi.

 

11 years ago

Habarileo

JK atangaza neema kwa mahakimu, majaji

SERIKALI inatarajiwa kuajiri mahakimu wapya zaidi ya 300 katika mwaka ujao wa fedha 2014/ 2015 na mwaka unaofuata wa 2015 /2016, itaajiri mahakimu wengine 300.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA 15 WA MWAKA WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA AFRIKA MASHARIKI


MKUTANO UTAHUDHURIWA NA MAJAJI NA MAHAKIMU KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MHE. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETENDIYE MGENI RASMI ATAKAYEFUNGUA MKUTANO HUO.

KAULIMBIU YA MKUTANO NI:

KUIMARISHA IMANI YA UMMA KWA MAHAKAMA

WAKATI WA MKUTANO KUTAKUWA NA MAONYESHO JUU YA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA. WOTE MNAKARIBISHWA

AIDHA MKUTANO HUO UTAFUATIWA NA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA TANZANIA(JMAT) UTAKAOFANYIKA TAREHE 29 AGOSTI...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

Rais Kikwete akifungua Mkutano wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza..Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Mwananchi

JK azindua kituo cha Azam TV, ataka kuboreshwa kwa maslahi ya waandishi wa habari

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wamiliki wa vyombo vya habari nchini kuwajengea uwezo waandishi wa habari kwa kuwapatia mafunzo kila mara, pamoja na kuboresha maslahi yao kwani wakishindwa kuwalipa vizuri, waandishi hao watalipwa na watu wa mitaani jambo ambalo linaweza kupunguza weledi.

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki wafanyika jijini Mwanza

 Mhe. Jaji Lawrence Gidudu, Rais wa Chama cha Majaji wa Afrika Mashariki (EAMJA) (wa tatu kushoto) akiendesha Mkutano wa Waheshimiwa Majaji na Mahakimu wa Jumuiya hiyo, Mkutano huo unahitishwa leo baada ya wajumbe hao kukubaliana kwa pamoja kuoresha huduma ya utoaji haki kwa umma. Wengine ni Wajumbe wa Mkutano huo kutoka Tanzania, Kenya na Uganda Baadhi ya kundi la Washiriki wa Mkutano wakiwa katika mkutano huo mapema leo, Mkuano huo uanatarajiwa kumalizika leo Mhe. Robert Makaramba, Jaji...

 

10 years ago

Michuzi

mkutano wa siku tano wa Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki wafunguliwa mjini Kigali,Rwanda

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu,akifungua mafunzo ya Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kuhusiana na mkakati wa kupiga vita masuala ya Ugaidi uhalifu wa Kimataifa ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi wake pamoja na wageni,semina hiyo inafanyika Lagema Nungwi. Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu (katikati),akifuatana na Jaji Mkuu wa Sudan ya Kusini Chaan Reec Madut (kushoto),mara baada ya kuyafungua mafunzo ya siku tano juu ya mikakati ya kuupiga vita...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza

 Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo Seehemu ya washiriki wa Mkutano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza leo. Picha na Freddy Maro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani