Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu watakiwa kuzielewa sheria za utumishi

CHAMA cha Walimu (CWT) wilayani Morogoro, kimewataka walimu wote wa shule za msingi na sekondari wilayani humo kuzisoma mara kwa mara sheria za utumishi wa umma, kuzielewa na kuzitumia ipasavyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Sheni: Someni katiba na kuzielewa sheria


NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
WAKUU wa mikoa na wilaya wametakiwa kuisoma mara kwa mara na kuielewa katiba pamoja na sheria nyingine za nchi.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni, alitoa agizo na kusema wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kila siku, wanapaswa kuzingatia katiba na sheria.
Alitoa agizo hilo jana, alipokuwa akifungua mkutano elekezi kwa wakuu wa mikoa na wilaya za Zanzibar.
Alizitaja baadhi ya sheria ambazo wakuu hao wanapaswa kuzielewa na kuzitekeleza kila siku ni pamoja na...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

10 years ago

Habarileo

Oluoch ataka Tume ya Utumishi wa Walimu katiba mpya

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch ameshawishi wajumbe wenzake kuhakikisha Tume ya Utumishi wa Walimu, inaundwa na inatambuliwa na Katiba mpya.

 

10 years ago

Vijimambo

WAJUMBE IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU WATEMBELEA NYUMBA ZA PSPF LUKOMBE, MOROGORO

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema Muro, (Kushoto), akizungumza na baadhi ya wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu, kwenye eneo la mradi wa nyumba za Mfuko huo eneo la Lukobe mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Wajumbe hao walifanya ziara hiyo mara baada yab kuhudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa lengo la kuwaelimisha juu ya faida mwanachama anazoweza kupata anapojiunga na Mfuko huo.Mkurugenzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema...

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu watembelea nyumba za PSPF zilizopo eneo la Lukobe mjini Morogoro.

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema Muro, (Kushoto), akizungumza na baadhi ya wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu, kwenye eneo la mradi wa nyumba za Mfuko huo eneo la Lukobe mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Wajumbe hao walifanya ziara hiyo mara baada yab kuhudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa lengo la kuwaelimisha juu ya faida mwanachama anazoweza kupata anapojiunga na Mfuko huo.  Mkurugenzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa...

 

10 years ago

GPL

TUME YA UTUMISHI YATOA TATHMINI YA SHERIA, KANUNI NA AJIRA

Naibu Katibu wa Tume ya Utumishi wa  Umma akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza taarifa ya tume hiyo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu msingi watakiwa kuwa na diploma

SERIKALI imesema kuanzia mwaka huu, walimu wa shule za msingi wanatakiwa kuwa na cheti cha taaluma kuanzia ngazi ya diploma. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Katibu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZAZI WATAKIWA KUWASAIDIA WALIMU KUONGEZA UFAULU

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna akizungumza na wahitimu wa Mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari Usongwe ambapo alikuwa mgeni rasmi. Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna akigawa vyeti na zawadi kwa wahitimu wa Mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari Usongwe ambapo alikuwa mgeni rasmi. .Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna akivishwa skafu katika Mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari Usongwe ambapo alikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani