Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZAZI WATAKIWA KUWASAIDIA WALIMU KUONGEZA UFAULU

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna akizungumza na wahitimu wa Mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari Usongwe ambapo alikuwa mgeni rasmi. Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna akigawa vyeti na zawadi kwa wahitimu wa Mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari Usongwe ambapo alikuwa mgeni rasmi. .Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Amani Kajuna akivishwa skafu katika Mahafali ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari Usongwe ambapo alikuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Motisha kwa walimu kuongeza ufaulu

KUTOTOLEWA kwa motisha kwa walimu na wanafunzi katika shule za sekondari, ni kati ya sababu zinazosababisha shule nyingi kufanya vibaya katika matokeo ya mitihani ya taifa nchini. Mkurugenzi wa Elimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ufaulu wa walimu waongezeka

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya Ualimu huku kiwango cha ufaulu ukionyesha kuongezeka.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuongeza uzalishaji nyuki

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameziagiza halmashauri za wilaya za mkoa huo, kuhakikisha kuwa kila kikundi cha ufugaji nyuki kinafikisha mizinga 100 na kinachukua hatua za kuzuia uharibifu wa mazingira, ukiwemo ukataji wa miti .

 

11 years ago

Mwananchi

Chuo cha Mtakatifu Joseph kuongeza walimu wa Sayansi

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph ( SJUIT) kilichopo Mbezi Luguruni jijini hapa, kinatarajia kufungua tawi jipya eneo la Mwenge,lengo likiwa ni kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi.

 

9 years ago

Habarileo

DC ahimiza walimu kushirikiana na wazazi

MKUU wa Wilaya Tarime, Glorious Luoga amewahimiza walimu kushirikiana na wazazi ili kuinua kiwango cha elimu wilayani hapa, hatua aliyosema itasaidia kufikia malengo yaliyokusudiwa na serikali.

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO

Na Woinde Shizza,Arusha
Wakulima wametakiwa kutumia fursa ya kuongeza thamani mazao yao ili waweze kunufaika zaidi kiuchumi kuliko kuuza mazao yao yakiwa ghafi kwani watakuwa wanayonywa na kuzidi kuwa masikini.
Wito huo umetolewa jana na Ofisa masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia, wakati akizungumza na waandishi wa habari, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, kanda ya kanda ya kaskazini yanayoendelea jijini Arusha.  
Alisema kupitia Farm Africa wakulima wengi wa ufuta wa mkoa huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Maghembe: Wazazi shirikianeni na walimu

WAZAZI katika Kijiji cha Kriya, wilayani Mwanga, Kilimanjaro, wametakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu, ili watoto waliopo katika Shule ya Sekondari Kriya waweze kuwa na ufaulu mzuri kuliko ilivyo sasa. Akizungumza...

 

5 years ago

CCM Blog

MAOFISA AFYA MIPAKANI WATAKIWA KUONGEZA UMAKINI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amewataka wataalamu wa afya maeneo ya mipakani kote nchini kuongeza umakini wakati wa  ukaguzi kwa wasafiri wanaopita katika maeneo yao na si kupima joto la mwili pekee.

Waziri Ummy ameyasema hayo jana Jumatano Machi 18, katika Mpaka Namanga unaotenganisha Tanzania na Kenya wakati alipokuwa akifanya ukaguzi ukaguzi katika eneo hilo.
Alisema ni muhimu kufanya ukaguzi wa kina zaidi ikiwamo kuhoji wasafiri kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Bodi ya Mikopo watakiwa kuongeza ufanisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. George Nyatega (mwenye tai) akipokea tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti (RAAWU) - Tawi la HESLB Bw. Deodatus Mwiliko kutambua uongozi wake bora katika HESLB tangu ilipoanzishwa mwaka 2005. Wengine ni viongozi wa RAAWU-HESLB Bw. Luhano Lupogo na Bi. Octavia Selemani.
Na Mwandishi wetu
Watumishi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani