DC ahimiza walimu kushirikiana na wazazi
MKUU wa Wilaya Tarime, Glorious Luoga amewahimiza walimu kushirikiana na wazazi ili kuinua kiwango cha elimu wilayani hapa, hatua aliyosema itasaidia kufikia malengo yaliyokusudiwa na serikali.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Aug
Bush ahimiza marais kushirikiana
RAIS wa zamani wa Marekani, George W. Bush ametaka marais kuungana kwa pamoja kuimarisha afya ya mama na wasichana.
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Pinda ahimiza jamii kushirikiana
11 years ago
Habarileo12 Mar
RC ahimiza wazazi kutoficha viziwi
MKUU wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amewataka wazazi wenye watoto walio na ulemavu wa kusikia (Viziwi) kutowaficha ndani badala yake watoe taarifa kwa viongozi wa serikali za vijiji na mitaa ili wasaidiwe kupatiwa huduma muhimu ya elimu.
10 years ago
Habarileo20 Dec
Kawambwa ahimiza wazazi kuzuru maonesho ya elimu
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amewataka wazazi na walezi nchini kutembelea maonesho ya Elimu ya kimataifa katika viwanja vya maonesho vya Sabasaba jijini Dar es Salaam ili kupata taarifa muhimu za elimu.
10 years ago
Dewji Blog23 Jan
DC Songea ahimiza wazazi kuchangia chakula kukuza elimu
Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti.
Na demasho.com
Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imefanya tathimini ya elimu ya na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2014 katika ukumbi wa EMAU Peremiho.
Katika tathimini hiyo mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti amewataka Madiwani ,Maafisa tarafa, Watendaji wa kata na Watendaji wa Vijiji kuwapa elimu wazazi juu ya umuhimu wa kuchangia chakula cha kutosheleza muhula wa masomo ili kusaidia wanafunzi kufanya...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Prof. Maghembe: Wazazi shirikianeni na walimu
WAZAZI katika Kijiji cha Kriya, wilayani Mwanga, Kilimanjaro, wametakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu, ili watoto waliopo katika Shule ya Sekondari Kriya waweze kuwa na ufaulu mzuri kuliko ilivyo sasa. Akizungumza...
10 years ago
VijimamboWAZAZI WATAKIWA KUWASAIDIA WALIMU KUONGEZA UFAULU
10 years ago
Habarileo21 Aug
Walimu, wazazi waghushi vyeti vya kuzaliwa
WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule za msingi na wazazi kughushi taarifa na kuongeza bei wakati wa kusajili na kuwapatia wanafunzi vyeti vya kuzaliwa.
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Wazazi, walimu wawakabili watoto wangali wadogo