Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kawambwa ahimiza wazazi kuzuru maonesho ya elimu

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amewataka wazazi na walezi nchini kutembelea maonesho ya Elimu ya kimataifa katika viwanja vya maonesho vya Sabasaba jijini Dar es Salaam ili kupata taarifa muhimu za elimu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

DC Songea ahimiza wazazi kuchangia chakula kukuza elimu

DSC00595

Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti.

Na demasho.com

 Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imefanya tathimini ya elimu ya na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2014 katika ukumbi wa EMAU Peremiho.

Katika tathimini hiyo mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti amewataka Madiwani ,Maafisa tarafa, Watendaji wa kata  na Watendaji wa Vijiji kuwapa elimu wazazi juu ya umuhimu wa kuchangia chakula cha kutosheleza muhula wa masomo ili kusaidia wanafunzi kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinga Kawambwa kubakizwa elimu

Baadhi ya wadau wa elimu wamesema kubakizwa kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na kumwondoa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo hakuwezi kuleta mabadiliko yoyote kwani Waziri ndiye msimamizi mkuu wa sera.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Kawambwa: Uwekezaji wa elimu si rahisi

WIZARA ya Maji imeunda Kamati Maalumu kufanya tathmini ya kina, ili kujua chanzo cha matukio ya kukatika kwa huduma ya maji mara kwa mara katika mtambo wa maji wa Ruvu...

 

11 years ago

Habarileo

RC ahimiza wazazi kutoficha viziwi

MKUU wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amewataka wazazi wenye watoto walio na ulemavu wa kusikia (Viziwi) kutowaficha ndani badala yake watoe taarifa kwa viongozi wa serikali za vijiji na mitaa ili wasaidiwe kupatiwa huduma muhimu ya elimu.

 

9 years ago

Habarileo

DC ahimiza walimu kushirikiana na wazazi

MKUU wa Wilaya Tarime, Glorious Luoga amewahimiza walimu kushirikiana na wazazi ili kuinua kiwango cha elimu wilayani hapa, hatua aliyosema itasaidia kufikia malengo yaliyokusudiwa na serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Kawambwa aeleza vigezo uongozi elimu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ametoa agizo kuwa kuanzia sasa vigezo vya uteuzi wa viongozi katika sekta ya elimu, vitazingatia sifa ya kuwa na mafunzo ya uongozi na utawala katika elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Uswahiba wa JK, Kawambwa unaua elimu

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema, uswahiba wa Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ndiyo chanzo cha kuporomoka kwa cha elimu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani