Dk. Kawambwa: Uwekezaji wa elimu si rahisi
WIZARA ya Maji imeunda Kamati Maalumu kufanya tathmini ya kina, ili kujua chanzo cha matukio ya kukatika kwa huduma ya maji mara kwa mara katika mtambo wa maji wa Ruvu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tPJN3F0IlaA/VTwZIrTHpjI/AAAAAAAHTUI/z47uxcm8tTs/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...
11 years ago
Michuzi08 Jul
WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.
Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-duQwwehNgfs/VnOIV5L3roI/AAAAAAABluc/5sHRvxT_AQ8/s72-c/IMG-20151217-WA0033.jpg)
UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU MKOANI TANGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-duQwwehNgfs/VnOIV5L3roI/AAAAAAABluc/5sHRvxT_AQ8/s640/IMG-20151217-WA0033.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-B99AiZiI5Zw/VnOI1_L0E3I/AAAAAAABluk/tIlyS_lXpYo/s640/IMG-20151217-WA0031.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0stAYn98xlw/VnOJfkKsdeI/AAAAAAABlu0/fPNPbwMbK2Y/s640/IMG-20151217-WA0026.jpg)
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Wapinga Kawambwa kubakizwa elimu
Baadhi ya wadau wa elimu wamesema kubakizwa kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na kumwondoa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo hakuwezi kuleta mabadiliko yoyote kwani Waziri ndiye msimamizi mkuu wa sera.
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Kawambwa aeleza vigezo uongozi elimu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ametoa agizo kuwa kuanzia sasa vigezo vya uteuzi wa viongozi katika sekta ya elimu, vitazingatia sifa ya kuwa na mafunzo ya uongozi na utawala katika elimu.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Dk Slaa: Uswahiba wa JK, Kawambwa unaua elimu
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema, uswahiba wa Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ndiyo chanzo cha kuporomoka kwa cha elimu nchini.
10 years ago
Habarileo20 Dec
Kawambwa ahimiza wazazi kuzuru maonesho ya elimu
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amewataka wazazi na walezi nchini kutembelea maonesho ya Elimu ya kimataifa katika viwanja vya maonesho vya Sabasaba jijini Dar es Salaam ili kupata taarifa muhimu za elimu.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3DaUejesC5M/VGYeGmSZ4dI/AAAAAAAGxOQ/VPqsFsyGQcU/s72-c/TIC%2BADVERT%2BSWAHILI%2BVERSION.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-auILKFCV9aM/VOl-mDEsJ3I/AAAAAAAHFGA/oZ2JHFSb1L8/s72-c/004.jpg)
Dkt. Kawambwa azindua jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)
![](http://1.bp.blogspot.com/-auILKFCV9aM/VOl-mDEsJ3I/AAAAAAAHFGA/oZ2JHFSb1L8/s1600/004.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania