Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Songea ahimiza wazazi kuchangia chakula kukuza elimu

DSC00595

Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti.

Na demasho.com

 Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imefanya tathimini ya elimu ya na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2014 katika ukumbi wa EMAU Peremiho.

Katika tathimini hiyo mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti amewataka Madiwani ,Maafisa tarafa, Watendaji wa kata  na Watendaji wa Vijiji kuwapa elimu wazazi juu ya umuhimu wa kuchangia chakula cha kutosheleza muhula wa masomo ili kusaidia wanafunzi kufanya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda ahimiza kuchangia elimu

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa rai kwa Watanzania kujenga utamaduni wa kuchangia maendeleo ya sekta ya elimu, badala ya kujikita kuchangia sherehe za harusi.

 

10 years ago

Habarileo

Kawambwa ahimiza wazazi kuzuru maonesho ya elimu

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amewataka wazazi na walezi nchini kutembelea maonesho ya Elimu ya kimataifa katika viwanja vya maonesho vya Sabasaba jijini Dar es Salaam ili kupata taarifa muhimu za elimu.

 

9 years ago

Habarileo

DC ahimiza walimu kushirikiana na wazazi

MKUU wa Wilaya Tarime, Glorious Luoga amewahimiza walimu kushirikiana na wazazi ili kuinua kiwango cha elimu wilayani hapa, hatua aliyosema itasaidia kufikia malengo yaliyokusudiwa na serikali.

 

11 years ago

Habarileo

RC ahimiza wazazi kutoficha viziwi

MKUU wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amewataka wazazi wenye watoto walio na ulemavu wa kusikia (Viziwi) kutowaficha ndani badala yake watoe taarifa kwa viongozi wa serikali za vijiji na mitaa ili wasaidiwe kupatiwa huduma muhimu ya elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Utalii wa chakula unaweza kuchangia maendeleo ya uchumi

Tatizo la Watanzania wengi ni kuwa wana uelewa mdogo kuhusu dhana ya utalii. Wengi wanafikiri utalii ni kwenda mbuga za wanyama na kutembelea magofu tu.

 

10 years ago

Michuzi

Amref kuandaa hafla ya chakula cha jioni kuchangia mafunzo ya wakunga nchini Tanzania

Meneja Mradi Uboreshaji wa Uzazi Salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (Tama), Martha Rimoy, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo, wakati Taasisi ya Amref Health Africa, ilipokuwa ikielezea kuhusu kuandaa hafla ya chakula cha jioni, Oktoba 9 kwenye Hoteli ya Serena, kwa ajili ya kuchangisha fedha za kufundishia wakunga ili kuokoa afya ya  mama na mtoto, katika kampeni ijulikanayo kama 'Stand up for African Mother'. Wengine pichani ni Mkurugenzi...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA INJILI NA KUKUZA ELIMU LAJA

Mkurugenzi wa East Africa Promotion Abuu Levy akizungumza jambo. Pembeni yake ni waimbaji Injili wa The Holy Worshipers Massa Choir. Wanahabari wakisikiliza maelezo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa kuchangia elimu

WATANZANIA wametakiwa kubadilika kifikira na kimtazamo kwa kutoa kipaumbele katika kuchangia fedha mambo ya msingi kwenye jamii hasa elimu na kuondokana na kasumba ya kutumia mamilioni ya fedha kuchangia sherehe,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania waaswa kuchangia elimu

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, amesema watanzania wanapaswa kuondokana na dhana kuwa jukumu la kutoa elimu bora linapaswa kubebwa na serikali peke yake. Amesema dhana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani