Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo cha Mtakatifu Joseph kuongeza walimu wa Sayansi

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph ( SJUIT) kilichopo Mbezi Luguruni jijini hapa, kinatarajia kufungua tawi jipya eneo la Mwenge,lengo likiwa ni kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILLIONI 10/-

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha St.Joseph cha jijini Dar es Salaam ,Ibrahim.M.Ibrahim anayesomea fani ya uhandisi wa kusindika vyakula katika kampasi ya Songea leo amekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 10/-alizojishindia kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika katika tawi la NMB benki house Jijini Dar es Salaam. Ibrahim Ibrahim alikabidhiwa fedha zake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu pamoja na...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILIONI 10/-‏

Meneja wa NMB tawi la Benki House jijini Dar es Salaam, Leon Ngowi (kushoto) akipanga kitita cha shilingi Milioni 10/- wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita hicho Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim (kulia) aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu. Hafla hiyo ilifanyika  jijini Dar es Salaam mwishoni...

 

10 years ago

Michuzi

MAJADILIANO KATI YA MANDELA PALLANGYO NA PROFESA JOSEPH MBELE WA CHUO KIKUU CHA OLAF CHA MAREKANI.

Safari yako ya uandishi ilianza muda mrefu. Je ni kipi kinakutia moyo na kuzidi kufanya kazi hii ngumu?



PROF: JOSEPH MBELE
Mimi ni mwalimu na ninauona uandishi kama sehemu ya ufundishaji au aina ya ufundishaji. Ndio maana uandishi wangu unaelekea zaidi katika mambo yanayoelimisha. Kazi pekee niliyoitamani hata kabla sijaanza shule ilikuwa ni ualimu. Kwa hivyo, ninapenda kuandika kama ninavyopenda kufundisha darasani.

Uliwahi kukutana na maneno mabaya kama kukatishwa tamaa au kukashifiwa wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwambungu akipongeza chuo cha Mt. Joseph

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, amekipongeza chuo kikuu cha sayansi ya kompyuta cha Mtakatifu Joseph Tawi la Songea kwa jitihada zake za kuendelea kupanua wigo wa kutoa huduma...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKAGUA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU CHA UDOM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni uwekaji wa samani na vifaa vya kufanyia kazi ili kitovo hicho kianzi kazi rasmi...

 

10 years ago

GPL

JK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya  Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya mgeni rasmi katika Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT),Mwanza

 Waziri wa Nchi(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.  Maandamano yakiendelea Profesa Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.  Waziri Mwandosya akisalimiana na wakufunzi wa SAUT. Picha ya pamoja ya Prof. Mwandosya na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere

user comment

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.

2

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar

Wahitimu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar wamehimizwa kuwa tayari kufanya kazi popote watakapopangiwa ambapo watakuwa na wajibu wa kuthamini na kuchangia jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali katika kupambana na maradhi mbali mbali yanayoisumbua jamii Nchini. Himizo hilo limetolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein kwenye Mahafali ya 22 ya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Kampas ya chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani