Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILIONI 10/-‏

Meneja wa NMB tawi la Benki House jijini Dar es Salaam, Leon Ngowi (kushoto) akipanga kitita cha shilingi Milioni 10/- wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita hicho Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim (kulia) aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu. Hafla hiyo ilifanyika  jijini Dar es Salaam mwishoni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILLIONI 10/-

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha St.Joseph cha jijini Dar es Salaam ,Ibrahim.M.Ibrahim anayesomea fani ya uhandisi wa kusindika vyakula katika kampasi ya Songea leo amekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 10/-alizojishindia kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika katika tawi la NMB benki house Jijini Dar es Salaam. Ibrahim Ibrahim alikabidhiwa fedha zake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA

Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama(kushoto)akiongea na Evarista Minja(wapili toka kulia)na marafiki zake alipomtembelea Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha SAUT jijini Mwanza kwaajili ya kumkabidhi kitita chake cha shilingi Milioni 1/-alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(kulia)akitoa fedha...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH MILIONI 1ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (kulia) akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama (kushoto.…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/-James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza ,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.… ...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO‏

Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

10 years ago

GPL

JOSEPH MAHUNDI WA COSTAL UNION AKABIDHIWA KOMBE NA KITITA CHAKE NA VODACOM TANZANIA

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akimkabidhi kombe na hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- kwa kuwa mchezeji bora wa Mwezi Desemba 2014 wa (VPL) kabla ya mechi kati ya timu yake na Azam FC iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini hapa Jumapili. Aliyeshikilia hundi kulia ni Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude. Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka...

 

10 years ago

Michuzi

MCHEZAJI JOSEPH MAHUNDI WA COSTAL UNION AKABIDHIWA KOMBE NA KITITA CHAKE NA VODACOM TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, TangaKAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, imemjaza noti kiungo Joseph Mahundi wa Coastal Union baada ya mwishoni mwa wiki kumkabidhi Sh. Milioni 1/-kutokana na kufanya vizuri katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.
Mahundi, kiungo fundi aliyekulia kwenye kituo cha Azam FC jijini Dar es Salaam, aliibuka Mchezaji Bora wa Mwezi Desemba 2014 wa VPL akiwa ni mchezaji wa nne kutwaa tuzo hiyo tangu ianzishwe msimu huu na kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa...

 

10 years ago

GPL

MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/= AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Milionea kupitia Promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ibrahim Ibrahim (kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10/- Zuwena Rajabu(kulia)aliyeibuka mshindi wa kitita hicho kupitia Promosheni hiyo wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Hafla hiyo ilifanyika Tabata Segerea  jijini Dar es Salaam,Ili  mteja kujua kama  ameshinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani