MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/= AKABIDHIWA KITITA CHAKE
![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJL3ED0weh4GKniy58gmXp*Rt13JT*LhyIyxxQ1gDDjPQKHWl*K3T-QLXaS5H5134752IBlsTKow9szAi-DktGif/001.ZUWENA.jpg?width=650)
Milionea kupitia Promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ibrahim Ibrahim (kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10/- Zuwena Rajabu(kulia)aliyeibuka mshindi wa kitita hicho kupitia Promosheni hiyo wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Hafla hiyo ilifanyika Tabata Segerea  jijini Dar es Salaam,Ili  mteja kujua kama ameshinda...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9ozIPsjL7Ck/VRVZlWAAn1I/AAAAAAAHNoo/6wchbTZTkZw/s72-c/001.ZUWENA.jpg)
MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/- ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-9ozIPsjL7Ck/VRVZlWAAn1I/AAAAAAAHNoo/6wchbTZTkZw/s1600/001.ZUWENA.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OfvubK0P8n4/VRVZlnqjhSI/AAAAAAAHNoc/grTjPzBaUX0/s1600/003.ZUWENA.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g94tpcG6i_A/VNI2C5UvGPI/AAAAAAAHBrw/ZhLwhpAGcqY/s72-c/001.UWEZO.jpg)
ALIYEJISHINDIA MILIONI 100 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-g94tpcG6i_A/VNI2C5UvGPI/AAAAAAAHBrw/ZhLwhpAGcqY/s1600/001.UWEZO.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0PaAyo4W*ZAocyRkZQX5nBLR4TGu9paEVa-*rkjPXbOaUnpDsyTa1p0fk4pOOPVT*qVUiF*PSrIUA-yJ-XEeheQKn6Z50u3/004.KATAVI.jpg?width=650)
MKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Hayawi hayawi yamekuwa Haynes Peter Kanumba (20) ambaye ni mshindi wa Milioni 10/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, akiwa mwenye furaha baada ya kukabidhiwa kitita chake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi iliyofanyika mkoani Katavi.Ili mteja kujua kama umeshinda unatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mshindi wa kitita cha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-YHtjOXJPQe4/VNcW9NxHflI/AAAAAAAHCbw/AkZ4323DvFs/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
MKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE, Ni kupitia promosheni ya JayMillions, Bilioni 24.3 zawasubiri wateja
Mmoja wa washindi wa milioni 10 kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania – Hynes Petro Kanumba mkazi wa Katavi mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla iliyofanyika mkoani humo. Promosheni ya Jaymillions inayoendelea ikiwa katika wiki ya tatu na ambayo itadumu kwa muda wa siku 100 itaendelea kuleta faraja na mafanikio kwa wateja wa Vodacom kwa kuweza kujinasua katika hali duni ya maisha. Hadi kufikia leo ni Sh. 126m/- pekee zilizokwisha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O0HWB_6x61E/VOxjBYsL7SI/AAAAAAAHFjo/HKGAUR4ss68/s72-c/001.JP.jpg)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-O0HWB_6x61E/VOxjBYsL7SI/AAAAAAAHFjo/HKGAUR4ss68/s1600/001.JP.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5m8RiKM8yAg/VOxjBXLq-LI/AAAAAAAHFjg/pESlXX6-ohc/s1600/002.JP.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-ii29kqa2Kq22ZyVBamGJVPOFEA4n5K4Cj5nYdcCHiiHAT1C4WTsqrvyNEAq0KNX*bFA8i94qttMM3czthsbBvcD/001.JP.jpg)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/-James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza ,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YSNfPN1VIjVy9qgAA3BGWwdnusUxkSUPs0SBfD1L6w4w-qP4390wKbS4nZmO8JvOYUz6dpA4KYJxhulbx2n8cn/001.jpg?width=650)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
.Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GutZeHmFpMtqvMlVuFdpDOxIknp0qWlJcxg8EzYuCgG*aD-vNq6ILsh2x9F8gde46cq6h9R5-zna2TyQ-7qwRJ8Hv78zXj3v/001.jpg?width=650)
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s72-c/001.HUNDI.jpg)
Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake
![](http://3.bp.blogspot.com/-JdqtfpX2VlA/VSzk_5JAB4I/AAAAAAAHREI/hdoWJjVEOt0/s1600/001.HUNDI.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania