Wema ‘akana’ kuwa na ujauzito wa Diamond! Ila afunguka haya mazito, soma hapa
Baada ya stori nyingi kuzagaa kuwa mwigizaji na mpenzi halali wa mwanamuziki wa bongo fleva Diamond Platinumz – Wema sepetu kuwa yu mjamztio wa wiki 7 na mimba ya msanii huyo, hatimaye leo hii mwanadada Wema ameamua kufunguka “exclusively” kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kujibu habari hizo akisema haya yafuatayo kama tunavyomnukuu hapo chini…
“Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant(mjamzito).... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT(NOT)... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Masongange akana kuwa na ujauzito wa Davido
Agnes Masogange.
MWANAMITINDO Agnes Masogange, amekana kuwa na ujauzito wa mwanamuziki maarufu wa Nigeria aitwaye Davido, hii ni baada ya Agnes kuandika kwenye mtandao kuonyesha upendo wake kwa mwanamuziki huyo.
Hata hivyo, Agnes amemaliza mkanganyiko huo na kuzifuta picha zote zilizoleta taharuki na kuweka picha ya mpenzi wake halisi wa kiume.
Hata hivyo, Davido bado hajatoa kauli yoyote kuhusu suala hilo.
10 years ago
Bongo Movies10 Aug
Wema Sepetu Afunguka Mengine Haya kuhusu Magufuli na Lowassa..
Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu.
Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii leo kupitia mtandao wa Instagram kapost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.
Kwenye post yake ameipa maneno haya “Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema …...
10 years ago
Bongo Movies26 Aug
Nuh Mziwanda Azidi Kumkana Wema,Afunguka Haya Redioni
Msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda amemkana tena staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu kuwa hajawahi kumtongoza na sauti iliyorekodiwa kwenye simu akimtongoza mwigizaji huyo siyo yake.
Akizungumza kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM,alipokuwa akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Hadithi’ alisema kuwa Wema hakuwa na nia nzuri na penzi lake na Shilole na alitaka kuwagombanisha na mpenzi wake huyo.
Sijawahi kumtongoza Wema na hakuwa na nia nzuri na penzi langu na Shilole alitaka kutugombanisha na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA

KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.

10 years ago
CloudsFM23 Jan
WEMA SEPETU AKANA KUMDAI DIAMOND PLATINUMZ
Jana zilisambaa stori kwenye mitandao ya kijamii ambazo zilitoka kwenye gazeti la Mtanzania,ambazo zilidai kuwa Staa wa Bongo Fleva,Wema Sepetu anamdai aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz kiasi cha shilingi Milion 10 ambazo Wema alikopa kwenye Vikoba.
Wema amezungumza na xxl na kudai kuwa amestushwa na taarifa hizo na kwamba hajawai kumdai Diamond na hamdai na wala hiyo Saccos haijui.
‘’Nilivyozisikia hizo habari nilishangaa sana ni mtu tu kaamua kuzusha habari za uongo mimi na Diamond...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
Bongo Movies17 Feb
Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!
Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye...