ZARI, DIAMOND MAHABA KWEUPE UGANDA

STORI: HAMIDA HASSAN na Musa Mateja STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wameoneshana malovee hadharani na kuwaacha watu midomo wazi. Nasibu Abdul ‘Diamond’akiwa kwenye pozi na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ . Tukio hilo lililoacha historia ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DIAMOND, ZARI MAHABA MAZITO
9 years ago
Bongo517 Dec
Zari na Diamond kuiteka Uganda wikiendi hii

Diamond na mchumba wake Zari The Bosslady wataiteka Kampala, Uganda wikiendi hii.
Wote watakuwa na show tofauti.
Zari atakuwa na All White Party Alhamis hii kwenye kiota cha Guvnor huku Diamond Ijumaa hii akitumbuiza kwenye uwanja wa cricket wa Lugogo akiwa na msanii wa Nigeria, Patoranking kwenye show ya Born 2 Win.
Tayari Zari ameshawasili nchini humo huku Diamond akitarajiwa kuwasili leo au kesho.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...
10 years ago
GPL
ZARI AMPOKEA DIAMOND KWA SHANGWE UGANDA JANA
10 years ago
GPL
DIAMOND, ZARI WAFUNIKA ALL WHITE CIROCPARTY ILIYOFANYIKA KAMPALA UGANDA
10 years ago
Vijimambo30 Nov
DIAMOND KUFANYA ONESHO KWENYE WHITE PARTY YA ZARI UGANDA

Zari alikua na Diamond kwenye tuzo za...
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Diamond akwea pipa aenda Uganda kwenye ''White Paty'' ya Zari
Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amekwea pipa leo kuelekea nchini Uganda kwenye ''''White Paty'' inayoandaliwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa aishiye nchini humo. Zari.Kupitia mtandao wa Instagram Diamond aliandika hivi.....KAMPALA!!! UGANDA!!! your boy is on his way... #Zari_AllWhite_CirocParty.
Zari
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)
Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya ‘Utanipenda’. Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo December 21 2015 kaachia audio rasmi hewani kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM… kwenye stori zilizopigwa aliulizwa pia kuhusu sababu iliyofanya apost kipande cha video kilichomtoa machozi […]
The post Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio) appeared first on...
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!
INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano...