Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond akwea pipa aenda Uganda kwenye ''White Paty'' ya Zari

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amekwea pipa leo kuelekea nchini Uganda kwenye ''''White Paty'' inayoandaliwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa aishiye nchini humo. Zari.Kupitia mtandao wa Instagram Diamond aliandika hivi.....KAMPALA!!! UGANDA!!! your boy is on his way... #Zari_AllWhite_CirocParty.Zari

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUFANYA ONESHO KWENYE WHITE PARTY YA ZARI UGANDA

zari diamond4Imethibitika rasmi kwamba Diamond atafanya onesho kwenye white party ya Zari inayotegemewa kufanyika Desemba 18, 2014 jijini Kampala nchini Uganda kwa mujibu wa mtandao wa Boss Lady kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika kwa Diamond kuwa mgeni rasmi na hiki ndicho alichoandika Zari kwenye ukurasa wake wa facebook “Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the ‪ Zari All White Ciroc Party. White is always pure, fab & classy,”

Zari alikua na Diamond kwenye tuzo za...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI WAFUNIKA ALL WHITE CIROCPARTY ILIYOFANYIKA KAMPALA UGANDA

Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda. Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo.… ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Diamond Afunguka Kutotokea Kwenye Zari All White Party, Adai Hamwogopi Ivan

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan.

Diamond Akiwa na Zari

Diamond Akiwa na Zari

Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda amedai kuwa hakukacha party hiyo bali makubaliano aliyokuwa nayo na promota wa show yake ya Ijumaa (siku moja baada ya all...

 

10 years ago

CloudsFM

Diamond Platnumz kuzindua Tv yake kwenye Zari White Party,Mlimani City,Ijumaa hii

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.

Pamoja na vitu vingi vitakavyokuwepo siku hiyo mashabiki watashuhudia uzinduzi wa tv hiyo kwa mara ya kwanza ambapo Diamond atataja rasmi jina la tv hiyo. ZARI ALL WHITE PARTY ,performance kutoka kwa @diamondplatnumz akisindikizwa na @shettatz pamoja na @akaworldwide kwa mtonyo wa Tsh 50,000/= na VIP ni Tsh 100,000/= Utakosa...

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

11 years ago

GPL

Ndumbaro akwea pipa kwenda Fifa kumshitaki Wambura

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro, jana saa 10:45 jioni alipanda ndege na kwenda Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kwa ajili ya kumshtaki Michael Wambura ambaye aliondolewa katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.… ...

 

11 years ago

CloudsFM

OMMY DIMPOZ AKWEA PIPA KWENDA MAREKANI KUWABURUDISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO

STAA wa ngoma ya Ndagushima,Omar Nyembo, Mr. Poz Kwa Poz,leo anaelekea nchini Marekani kwa ajili ya Ndagushima Night, shoo ambayo imeandaliwa maalum kwa ajili ya watanzania watakaokuwa wamemaliza mkutano na rais Jakaya Kikwete jijini Houston Marekani.

 

10 years ago

TheCitizen

When Zari-Diamond painted the city white

It was billed as the party of the year, one that brought East Africa’s power couple Zari and Diamond in the public glare for the first time.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond kuwa mgeni rasmi ‘Zari All White Ciroc’

Licha ya kumzidi miaka 10, Zari atangaza rasmi kuwa ni mtu wake wa karibu kwa sasa Johannesburg/Dar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani