Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndumbaro akwea pipa kwenda Fifa kumshitaki Wambura

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro, jana saa 10:45 jioni alipanda ndege na kwenda Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kwa ajili ya kumshtaki Michael Wambura ambaye aliondolewa katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

OMMY DIMPOZ AKWEA PIPA KWENDA MAREKANI KUWABURUDISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO

STAA wa ngoma ya Ndagushima,Omar Nyembo, Mr. Poz Kwa Poz,leo anaelekea nchini Marekani kwa ajili ya Ndagushima Night, shoo ambayo imeandaliwa maalum kwa ajili ya watanzania watakaokuwa wamemaliza mkutano na rais Jakaya Kikwete jijini Houston Marekani.

 

10 years ago

CloudsFM

Diamond akwea pipa aenda Uganda kwenye ''White Paty'' ya Zari

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz amekwea pipa leo kuelekea nchini Uganda kwenye ''''White Paty'' inayoandaliwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa aishiye nchini humo. Zari.Kupitia mtandao wa Instagram Diamond aliandika hivi.....KAMPALA!!! UGANDA!!! your boy is on his way... #Zari_AllWhite_CirocParty.Zari

 

9 years ago

Global Publishers

Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria


SamataBwana580211.jpgMbwana Samatta

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

samattanMbwana Samatta

Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA AIRTEL 'MIMI NI BINGWA' WAKWEA PIPA KWENDA OLD TRAFFORD

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson  Mmbando akiwakabidhi tiketi za ndege baadhi ya washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel tayari kwa ajili ya safari yao ya kwenda kushuhudia mechi kati  ya Manchester United na Cardiff City itakayochezwa kesho kwenye uwanja wa Old Trafford.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson  Mmbando akiwa pamoja na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...

 

11 years ago

GPL

MASTAA KUMSHITAKI MKOPI

Stori: Mwandishi Wetu KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Sylvery Mjuni ‘Mpoki’ yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda kwa mwanasheria wao, Ijumaa Wikienda lina ishu nzima. Aisha Mashauzi. Kwa mujibu wa chanzo makini, mastaa wanaodaiwa kutinga kwa mwanasheria na kuandikisha maelezo ni hawa wafuatao: Mkurugenzi wa Aset...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

UKAWA kumshitaki Magufuli

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli Inakusudia kuchukua hatua kwa madai mgombea huyo wa urais wa CCM anaiga na kutumia nembo za Chadema kwenye mabango na hotuba zake za kampeni. Na Waandishi […]

The post UKAWA kumshitaki Magufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Agoma kumshitaki mume aliyemjeruhi

MKAZI wa Kijiji cha Kapiliula, wilayani Urambo, Magdalena Nsimba,  aliyenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga na mumewe kwa madai ya kukataa kumpa sh 1,000 ya kununulia pombe, amekataa mumewe huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani