Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Agoma kumshitaki mume aliyemjeruhi

MKAZI wa Kijiji cha Kapiliula, wilayani Urambo, Magdalena Nsimba,  aliyenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga na mumewe kwa madai ya kukataa kumpa sh 1,000 ya kununulia pombe, amekataa mumewe huyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanasheria aliyemjeruhi ‘hausigeli’ asota rumande

MWANASHERIA Yastinter Rwechungura (44), mkazi wa Boko-Njiabanda, jijini Dar es Salaam, anayekabiliwa na kesi ya kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, Merina Mathayo, amerudishwa rumande bada ya kushindwa kutimiza masharti...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa

Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

UKAWA kumshitaki Magufuli

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli Inakusudia kuchukua hatua kwa madai mgombea huyo wa urais wa CCM anaiga na kutumia nembo za Chadema kwenye mabango na hotuba zake za kampeni. Na Waandishi […]

The post UKAWA kumshitaki Magufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

MASTAA KUMSHITAKI MKOPI

Stori: Mwandishi Wetu KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Sylvery Mjuni ‘Mpoki’ yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda kwa mwanasheria wao, Ijumaa Wikienda lina ishu nzima. Aisha Mashauzi. Kwa mujibu wa chanzo makini, mastaa wanaodaiwa kutinga kwa mwanasheria na kuandikisha maelezo ni hawa wafuatao: Mkurugenzi wa Aset...

 

10 years ago

BBCSwahili

Liberia kumshitaki mgonjwa wa Ebola

Maafisa wa utwaala nchini Liberia, wanasema kuwa watamshitaki mwanamume aliyepatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani wakimtuhumu kuwa alitoa taarifa za uongo

 

10 years ago

StarTV

Ocampo: Nilikuwa sahihi kumshitaki Kenyatta.

Kiongozi wa zamani wa mashitaka katika mahakama ya jinai ya ICC, ameteta uamuzi wake wa kumshitaki Rais Uhuru Kenyatta licha ya kesi hiyo kutupiliwa mbali.

Bwana Luis Moreno Ocampo anasema kua mashitaka hayo dhidi ya Uhuru yalizuia ghasia kutokea tena katika uchaguzi wa mwaka 2013.

Kenyatta alishinda uchaguzi huo baada ya kugombea kwa tiketi ya chama cha TNA, huku akiituhumu mahakama hiyo kwa kuingilia maswala ya ndani ya Kenya.

Alishtakiwa kwa kosa la kuchochea ghasia za baada ya uchaguzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjane Rorya atimuliwa kwa kumshitaki shemejie

MJANE Pili Samweli (24) mkazi wa Kijiji cha Omuga, Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara, ametimuliwa nyumbani kwake na ndugu wa mume kutokana na hatua ya kumfikisha polisi mmoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KUMSHITAKI ASKARI ALIYEKUBAMBIKIZA KESI

Na  Bashir  Yakub 
Kumbambikiza   mtu kesi  ni  kosa. Si  tu  ni  kosa  bali  pia  ni  kinyume  kabisa cha  haki  za  binadamu  na ustaarab wa  dunia. Inawezekanaje  mtu  akashtakiwa  kwa  kosa  ambalo   si  tu  hakulitenda  bali  pia  halijui  kabisa. Ni  matendo  yanayofanywa  na  watu  makatili  na  mabazazi.  Niseme  tu  mapema  kuwa  kosa  hili  haliwahusu  tu  askari  isipokuwa  kila  mtu   ambaye  anaweza  kumshtaki  mwingine  kwa  kosa  ambalo  anajua  kabisa  halikutendeka  au...

 

11 years ago

GPL

Ndumbaro akwea pipa kwenda Fifa kumshitaki Wambura

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro, jana saa 10:45 jioni alipanda ndege na kwenda Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kwa ajili ya kumshtaki Michael Wambura ambaye aliondolewa katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani