Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanasheria aliyemjeruhi ‘hausigeli’ asota rumande

MWANASHERIA Yastinter Rwechungura (44), mkazi wa Boko-Njiabanda, jijini Dar es Salaam, anayekabiliwa na kesi ya kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, Merina Mathayo, amerudishwa rumande bada ya kushindwa kutimiza masharti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Aliyejeruhi kwa meno asota rumande

>Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige (42) jana alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni kujibu shtaka la kumjeruhi kwa meno mfanyakazi wake wa ndani Yusta Lucas.

 

11 years ago

GPL

ALIYEMPIGA HAUSIGELI ARUDI TENA RUMANDE

Mtuhumiwa wa kesi ya kumtesa hausigeli wake, Yasinta Rwechengura baada ya kushuka kutoka kwenye gari la magereza akielekea kizimbani chizi ya ulinzi mkali wa askari magereza. Ndugu wa Yasinta wakiwa nje ya jengo la Mahakama ya Kinondoni kabla ya mtuhumiwa huyo kupandishwa kizimbani.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Agoma kumshitaki mume aliyemjeruhi

MKAZI wa Kijiji cha Kapiliula, wilayani Urambo, Magdalena Nsimba,  aliyenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga na mumewe kwa madai ya kukataa kumpa sh 1,000 ya kununulia pombe, amekataa mumewe huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa

Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa zamani asota polisi siku 3

WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota katika kituo cha Polisi kwa muda wa siku tatu tangu alipokamatwa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chid Benz akosa dhamana, asota Segerea

MKALI wa Muziki wa Hip Hop nchini, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ jana ameswekwa rumande Segerea, kwa kushindwa masharti ya dhamana, baada ya kupandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIVYOMUUA...

Stori: MWANDISHI WETU, SINGIDA SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa na hausigeli wake aliyetajwa kwa jina la Valentina Karenge (17). Ndugu wa marehemu akiuandaa mwili kwa ajili ya kuagwa
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi huyo wa ndani mkoani Singida kudaiwa kumuuua tajiri yake kwa kumchoma kisu...

 

9 years ago

GPL

HAUSIGELI AJINYONGA!

Dustan Shekidele, Moro Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’ mmoja mkoani hapa aliyefahamika kwa jina moja la Rehema (16) ambaye alifanya kazi hiyo kwa wiki moja, akimshikia mwenzake aliyekwenda kijijini kwao lfakara wilayani Kilombero kumuuguza mama yake, amejifungia chumbani kisha kujinyonga kwa kutumia kanga....Soma zaidi===>http://goo.gl/CN1Ati ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani