Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAUSIGELI AJINYONGA!

Dustan Shekidele, Moro Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’ mmoja mkoani hapa aliyefahamika kwa jina moja la Rehema (16) ambaye alifanya kazi hiyo kwa wiki moja, akimshikia mwenzake aliyekwenda kijijini kwao lfakara wilayani Kilombero kumuuguza mama yake, amejifungia chumbani kisha kujinyonga kwa kutumia kanga....Soma zaidi===>http://goo.gl/CN1Ati ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIVYOMUUA...

Stori: MWANDISHI WETU, SINGIDA SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa na hausigeli wake aliyetajwa kwa jina la Valentina Karenge (17). Ndugu wa marehemu akiuandaa mwili kwa ajili ya kuagwa
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi huyo wa ndani mkoani Singida kudaiwa kumuuua tajiri yake kwa kumchoma kisu...

 

10 years ago

GPL

SHAROBARO, HAUSIGELI LIVE

Issa Mnally na Richard Bukos
KIJANA mmoja mtanashati, aliyefahamika kwa jina la Faraja Adam mkazi wa Makongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinusurika kipigo kutoka kwa wakazi wa Mabibo Jeshini baada ya kukutwa sebuleni kwa mpangaji wa nyumba moja aliyefahamika kwa jina la Rhobi Chacha. Majirani wa mpangaji huyo waliliambia gazeti hili kwamba walimuona kijana huyo akiambaaambaaa na ukuta wa nyumba hiyo kisha kuingia ndani...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI NUSURA AUAWE

Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...

 

10 years ago

Habarileo

'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-

MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ATOBOA SIRI

Stori: Haruni Sanchawa
NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa. Yusta Lucas akionyesha majeraha ya meno aliyong'atwa na bosi yake. Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili akiwa wodini kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Kinondoni,...

 

11 years ago

GPL

MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA

TUKO ndani ya kumalizia Sikukuu ya Pasaka,  lakini moyo wangu utakuwa safi kama sikukuu hii itapita huku nikiwa nimetoa la moyoni kuhusu maisha ya wanandoa wa siku hizi. Ninaposema wanandoa namaanisha watu wawili wa jinsi tofauti wanaoishi kama mume na mke ndani ya nyumba moja. Katika miaka ya hivi karibuni, kimjinimjini familia nyingi zinazojiweza zimekuwa zikiajiri wasichana wa kazi (mahausigeli) kwa ajili ya kuwasaidia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hausigeli’ adaiwa kubakwa na mwajiri

MTOTO mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa maeneo ya Mghalani, mkoani hapa, ambaye ni mfanyakazi wa ndani ‘Hausigeli’, anadaiwa kubakwa na mwajiri wake na kumsababishia maumivu makali. Kaimu Kamanda...

 

11 years ago

GPL

MIPAKA YA HAUSIGELI NDANI YA NYUMBA!-3

maha Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku kama kawaida. Mimi niko poa, namshukuru Mungu kwa kunifanya kuwa miongoni mwa wale wanaoendelea kupumua hadi leo.
Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilianza kuzungumzia mada hii. Leo nitaenda moja kwa moja kwenye ile mipaka ya hausigeli ndani ya nyumba nikiamini mwisho wa siku wanandoa watajifunza kitu kitakachoziboresha ndoa...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO

Stori: Shomari Binda, Mara/UWAZI
MFANYAKAZI wa ndani anayefahamika kwa jina la Paulina Sobe anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mtoto wa bosi wake, Diana Meshack, mwenye umri wa miaka miwili, huko Musoma mkoani Mara, tukio lililotokea Januari 3 mwaka huu. RPC Mara akiwa na mtoto aliyeibiwa(kushoto) ni mama wa mtoto huyo. Kamanda wa Jeshi hilo mkoani Mara, ACP Philip Kalangi, aliliambia gazeti hili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani