HAUSIGELI NUSURA AUAWE
![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fRmHK4RfZkmN4BxCouCYkpaO-OV4leUSbREhKJboJW7t5GIqUeUJP8v-UY9I22BISlSIQHpzRBo00XVjrx5ZlFL/hausegirl.jpg)
Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/H8kD-3t5Yfnq3g3ybkAwXUDIP-2MGaCrvCG-1gVPK3wm-rWqMlA-550RNH-LR8F3MGUJbDwGQpLo-oC4GnNf5v*lq7lmXufJ/feza20.jpg)
MAMA WA FEZA NUSURA AUAWE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZe6ADBWzMBhQDgaeCM4p80akkzHUzhk0eN7O0uewxhqGy5G6o5RajPaVCI8iluuij6xVHYs6JwoOc7Zvp-gXvK3/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO NUSURA AUAWE KISA KUDAIWA KUKWAPUA SIMU
10 years ago
GPL03 Feb
GLOBAL TV ONLINE: KIJANA NUSURA AUAWE KWA WIZI, MAMA YAKE AINGILIA KATI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fl5zqutucocjblfg2ZjPIc*0h8ZirarCBHfHAMBIJyfIgg38z8OExzlvg360LqBpdGQ9FZBv6h6BSgn4N21jqME5VZcnt85Y/tambwe.jpg?width=750)
Tambwe nusu auawe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRlgpnB3UagVpEM0WXGEqPGhcLVXilQtAayjdmkPG7dg9TYYnlLdJP0CTtxdEt8SRH0JGwS9cK6YAYXIgMFvBiVs/MWANA.jpg)
MWANA FA ASAKWA AUAWE
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxCNhCb0vXUiTY31yeVSavssk6mMbn9gKq0Ovejs4lWSr7TddeIX4WlwuivVRXbLyA-bjbj0lVDXVsN7ZMKPsQ9LeWzq3WB0/hausgel.jpg)
HAUSIGELI AJINYONGA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSNJdPU7qsR3ZuuNEa18Y63X0g88iKCpYXwEcLWRLCuasRJRTAEdTU7aTMLCxK1Eqo*Bng0VQ4V6NrCmpG2uhxG/housegeli.jpg)
HAUSIGELI ALIVYOMUUA...
10 years ago
Habarileo06 Oct
'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-
MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.