Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MREMBO NUSURA AUAWE KISA KUDAIWA KUKWAPUA SIMU

Stori: Richard Bukos na Makongoro Oging'
MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya mwanaume na kuificha sehemu zake za siri. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, awali mrembo huyo alikuwa akila bata na mwanaume aitwaye Hashim kwenye Baa ya Jassun Inn iliyopo maeneo ya Mabibo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BODABODA ANUSA KIFO KISA, KUKWAPUA SIMU!

Stori: Mwandishi Wetu Za mwizi arobaini! Ule mchezo wa kukwapua vitu na kukimbia umemtokea puani dereva wa pikipiki almaarufu bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani (28) ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu ya bei mbaya ya mrembo aitwaye Zaituni Hamisi. Dereva wa bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu.
Tukio hilo la aina yake lilijiri majira ya...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI NUSURA AUAWE

Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...

 

10 years ago

GPL

MAMA WA FEZA NUSURA AUAWE

Stori: Mwandishi Wetu
WAKATI hofu ya mauaji ya wanawake ikiwa bado imetanda mkoani Arusha, mama mzazi wa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy ameponea chupuchupu baada ya kuvamiwa na majambazi wawili kisha kuporwa fedha. Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu kutoka jijini humo, Feza alisema mama yake aitwaye Rose Kessy alikutwa na masaibu hayo...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: KIJANA NUSURA AUAWE KWA WIZI, MAMA YAKE AINGILIA KATI

Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo. Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na...

 

11 years ago

GPL

MREMBO NUSURA ABAKWE

Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. Stori:  Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.…

 

10 years ago

Michuzi

pikipiki yachomwa moto kwa kukwapua simu ya mtu

 Ule usemi wa za mwizi ni arobani,umetimia leo baada ya vijana wawili wanaotumia pikipiki (majina yao hayakupatikana mara moja) wenye utaalamu wa hali ya juu wa kukwapua simu za mikonini za watu wawapo kwenye magari au hata watembea kwa miguu kushindwa kufurukuta mbele ya wananchi wenye hasira.Tukio hilo limetokea jioni hii mbele ya bustani ya Botanical kwa upande unaotazamana na geti kuu la kuingia Hospitali ya Ocean Road,baada ya kumkwapulia simu mwanadada mmoja (jina kapuni) aliekuwa...

 

10 years ago

GPL

DEREVA WA BODABODA NUSURA AMUUE MREMBO

Stori: Richard Bukos
DEREVA wa bodaboda aliyefahamika kwa jina moja la Fikiri, nusura amuue mrembo mmoja mkazi wa Tandale-Kwatumbo, jijini Dar baada ya kumparamia na bodaboda kando ya barabara. Mrembo (jina halikufahamika mara moja) aliyenusurika kifo baada ya kugongwa na mwendesha bodaboda aliyefahamika kwa jina moja la Fikiri. Katika tukio hilo lililotokea hivi karibuni, dereva huyo wa bodaboda akiwa anatokea… ...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Ndoa ya watoto yageuka majanga, nusura amuue mke kisa ng’ombe

>Ni muda wa saa 5:45 asubuhi tunafika nyumbani kwa  Simioni  Sagire, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mifugo katika kijiji cha Kwitete kata ya Nyamoko wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara.

 

10 years ago

GPL

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Stori: Gladness Mallya
Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein. Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani. Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani