MAMA WA FEZA NUSURA AUAWE
![](http://api.ning.com:80/files/H8kD-3t5Yfnq3g3ybkAwXUDIP-2MGaCrvCG-1gVPK3wm-rWqMlA-550RNH-LR8F3MGUJbDwGQpLo-oC4GnNf5v*lq7lmXufJ/feza20.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu WAKATI hofu ya mauaji ya wanawake ikiwa bado imetanda mkoani Arusha, mama mzazi wa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy ameponea chupuchupu baada ya kuvamiwa na majambazi wawili kisha kuporwa fedha. Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu kutoka jijini humo, Feza alisema mama yake aitwaye Rose Kessy alikutwa na masaibu hayo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL03 Feb
GLOBAL TV ONLINE: KIJANA NUSURA AUAWE KWA WIZI, MAMA YAKE AINGILIA KATI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fRmHK4RfZkmN4BxCouCYkpaO-OV4leUSbREhKJboJW7t5GIqUeUJP8v-UY9I22BISlSIQHpzRBo00XVjrx5ZlFL/hausegirl.jpg)
HAUSIGELI NUSURA AUAWE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZe6ADBWzMBhQDgaeCM4p80akkzHUzhk0eN7O0uewxhqGy5G6o5RajPaVCI8iluuij6xVHYs6JwoOc7Zvp-gXvK3/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO NUSURA AUAWE KISA KUDAIWA KUKWAPUA SIMU
10 years ago
Bongo505 Dec
Feza na O’neal waachana? BBA watweet ‘Feza Confirm Breakup with O’Neal’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fl5zqutucocjblfg2ZjPIc*0h8ZirarCBHfHAMBIJyfIgg38z8OExzlvg360LqBpdGQ9FZBv6h6BSgn4N21jqME5VZcnt85Y/tambwe.jpg?width=750)
Tambwe nusu auawe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRlgpnB3UagVpEM0WXGEqPGhcLVXilQtAayjdmkPG7dg9TYYnlLdJP0CTtxdEt8SRH0JGwS9cK6YAYXIgMFvBiVs/MWANA.jpg)
MWANA FA ASAKWA AUAWE
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
10 years ago
TheCitizen23 Apr
Feza for varsity in Bagamoyo
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-FWW4cqfmSO0/Xn1Gloxl9jI/AAAAAAACJa8/pjhM0VYvUTALT3WDRXG37MG69tMaJWjrgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200327_031415_071.jpg)
FEZA YAENDELEA NA ELIMU MTANDAONI
![](https://1.bp.blogspot.com/-FWW4cqfmSO0/Xn1Gloxl9jI/AAAAAAACJa8/pjhM0VYvUTALT3WDRXG37MG69tMaJWjrgCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200327_031415_071.jpg)
Shule za hizo za kimataifa zinaendelea na ufundishaji kwa kufanya mapitio ya masomo ili watoto wasisahau kile walichokisoma katika kipindi hiki ambacho wapo nyumbani.
Akiongea kuhusu suala hili mkurugenzi wa shule za Feza Tanzania ndugu Ibrahim Yunus alisema yafuatayo:...