MWANA FA ASAKWA AUAWE
![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRlgpnB3UagVpEM0WXGEqPGhcLVXilQtAayjdmkPG7dg9TYYnlLdJP0CTtxdEt8SRH0JGwS9cK6YAYXIgMFvBiVs/MWANA.jpg)
Stori: Musa Mateja STAA Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘Mwana FA’, anasakwa na watu wasiojulikana ili wamuue, baada ya kutumiwa ujumbe wenye vitisho hivyo katika akaunti yake ya mtandao wa Facebook. Staa wa Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘Mwana FA’. Akizungumza na paparazi wetu Juni 11 mwaka huu, Mwana FA alisema alishangazwa kukuta ujumbe huo ambao hata hivyo, hajui aliyemtumia ni nani. Katika kutaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fl5zqutucocjblfg2ZjPIc*0h8ZirarCBHfHAMBIJyfIgg38z8OExzlvg360LqBpdGQ9FZBv6h6BSgn4N21jqME5VZcnt85Y/tambwe.jpg?width=750)
Tambwe nusu auawe
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fRmHK4RfZkmN4BxCouCYkpaO-OV4leUSbREhKJboJW7t5GIqUeUJP8v-UY9I22BISlSIQHpzRBo00XVjrx5ZlFL/hausegirl.jpg)
HAUSIGELI NUSURA AUAWE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/H8kD-3t5Yfnq3g3ybkAwXUDIP-2MGaCrvCG-1gVPK3wm-rWqMlA-550RNH-LR8F3MGUJbDwGQpLo-oC4GnNf5v*lq7lmXufJ/feza20.jpg)
MAMA WA FEZA NUSURA AUAWE
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZe6ADBWzMBhQDgaeCM4p80akkzHUzhk0eN7O0uewxhqGy5G6o5RajPaVCI8iluuij6xVHYs6JwoOc7Zvp-gXvK3/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO NUSURA AUAWE KISA KUDAIWA KUKWAPUA SIMU
10 years ago
GPL03 Feb
GLOBAL TV ONLINE: KIJANA NUSURA AUAWE KWA WIZI, MAMA YAKE AINGILIA KATI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaT1HaeGc9tU0fp7NdBsdvaF9IPWhWf6zKn1-Z5gRiz0jS7VIJc6Ehg-nsrsE6SktGU1mW2wuLWOzb81skbMHG3/dudub.jpg)
DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Yanukovich asakwa Ukraine
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Aliyegombea ubunge asakwa na Polisi