Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyegombea ubunge asakwa na Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Geita linamtafuta aliyekua mgombea  wa ubunge  kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rogers Ruhega kwa tuhuma za kuhusika na shambulio la kudhuru mwili  wa Moshi Paul akiwa na vijana wengine 25.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI

Stori:  Mwandishi Wetu
MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 KUTISHIA KUUA mganga wa jadi Mery Kapalisya ambaye inadaiwa alikuwa akiishi naye kama mkewe. Mkongwe wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya' . Akisimulia mkasa mzima, Mery alisema Dudubaya alitishia kumuua mara baada ya kumfukuza katika nyumba waliyokuwa wakiishi pamoja maeneo ya...

 

10 years ago

GPL

ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI

Na Makongoro Oging’
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...

 

10 years ago

GPL

HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI

Hamida Hassan/ijumaawikienda
Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’ nguo za shilingi laki saba, mali ya aliyekuwa Mtangazaji wa EATV,  Nasra Dattani ‘Lady Naa’ ambaye alimkabidhi begi lake la nguo baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine. Msanii wa muziki na...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo

GWAJIMANa Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyegombea uenyekiti NCCR afariki dunia

ALIYEGOMBEA nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi katika uchaguzi uliofanyika mwaka huu, Charles Makofila amefariki dunia usiku wa kuamkia jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yathibitisha mgombea ubunge wa ACT kutekwa

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limethibitisha kutekwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Bariadi, kupitia chama cha ACT Wazalendo Masunga Ng’hozo na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

GPL

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA

Polisi mkoani Iringa wakiwa  wamezuia msafara  wa mgombea    ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu. Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace...

 

11 years ago

GPL

MWANA FA ASAKWA AUAWE

Stori: Musa Mateja
STAA Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘Mwana FA’, anasakwa na watu wasiojulikana ili wamuue, baada ya kutumiwa ujumbe wenye vitisho hivyo katika akaunti yake ya mtandao wa Facebook. Staa wa Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘Mwana FA’. Akizungumza na paparazi wetu Juni 11 mwaka huu, Mwana FA alisema alishangazwa kukuta ujumbe huo ambao hata hivyo, hajui aliyemtumia ni nani. Katika kutaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanukovich asakwa Ukraine

Waranti ya kumtia mbaroni aliyekuwa rais wa Ukraine Viktor Yanukovitch imetolewa na mahakama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani