Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI

Stori:  Mwandishi Wetu
MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 KUTISHIA KUUA mganga wa jadi Mery Kapalisya ambaye inadaiwa alikuwa akiishi naye kama mkewe. Mkongwe wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya' . Akisimulia mkasa mzima, Mery alisema Dudubaya alitishia kumuua mara baada ya kumfukuza katika nyumba waliyokuwa wakiishi pamoja maeneo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI

Na Makongoro Oging’
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...

 

9 years ago

Mwananchi

Aliyegombea ubunge asakwa na Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Geita linamtafuta aliyekua mgombea  wa ubunge  kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rogers Ruhega kwa tuhuma za kuhusika na shambulio la kudhuru mwili  wa Moshi Paul akiwa na vijana wengine 25.

 

10 years ago

GPL

HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI

Hamida Hassan/ijumaawikienda
Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’ nguo za shilingi laki saba, mali ya aliyekuwa Mtangazaji wa EATV,  Nasra Dattani ‘Lady Naa’ ambaye alimkabidhi begi lake la nguo baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine. Msanii wa muziki na...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo

GWAJIMANa Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dudubaya aibuka na ‘Wakaka’

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’, ameibuka na ngoma yake mpya aliyoipa jina la ‘Wakaka’. Dudubaya alishawahi kutamba na...

 

10 years ago

GPL

MAMBA DUDUBAYA AFUNGUKIA MAISHA YAKE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini 'Mamba Dudubaya' katika pozi ndani ya studio za Global TV Online leo. Mamba Dudubaya akifafanua jambo wakati akihojiwa na Global TV Online leo.…

 

11 years ago

GPL

ALICHOKISEMA DUDUBAYA BAADA YA KUSAMBAA KWA TAARIFA ZA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA

Godfrey Tumaini 'Dudubaya'. Jana April 08 kupitia You heard Soud Brown ali-amplify taarifa za Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa huku sababu ikielezwa kuwa anamhisi mama yake huyo anamroga kimuziki,leo Dudubaya kapatikana na ameongelea juu ya jambo hili lilivyotokea. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma. Bonyeza play kusikiliza.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanukovich asakwa Ukraine

Waranti ya kumtia mbaroni aliyekuwa rais wa Ukraine Viktor Yanukovitch imetolewa na mahakama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani