HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI
![](http://api.ning.com:80/files/ZGGCrW1JrghMAqq3ADQZJj2svU94NXCqspAJM1lobdBl-GiEw1kFwZOn94LohU5YjqGmx2*lt0UfLe*HKPrb89hDSqoDlP32/12.jpg)
Hamida Hassan/ijumaawikienda Kha! RB namba KTN|RB/11213/2014 –UTAPELI inamsaka msanii wa muziki na sinema za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ tangu mwaka jana, akidaiwa ‘kuchikichia’ nguo za shilingi laki saba, mali ya aliyekuwa Mtangazaji wa EATV, Nasra Dattani ‘Lady Naa’ ambaye alimkabidhi begi lake la nguo baada ya kumaliza kurekodi filamu iitwayo Catherine. Msanii wa muziki na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod1v0atBWTFUgjNtebfz1g1i7u7JIg2Oa2MUAovk*t6M4T4lqVFuGcndGWfhQDWcJ3sCt6IQdB1nNjMd3laZFCxR/siwema22.jpg?width=650)
JOKATE ASAKWA KWA UTAPELI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwKj6jWRIrCNuspO4xOIj-Pyi4sLM*S6Xhlqi266LIVcBlTLeXI4TpZkpj3K49iL67r603eDxsP4TAEGCmtZ-ueh/s.jpg?width=650)
ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MTy5keoRtuI/Xl4w9JwYKNI/AAAAAAALgrA/X3IicVJvfK8q9pUaGPPEvqQ_Q6pnNPr9ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lawanasa watu 11 wanaendesha utapeli kwa njia ya Mtandao
![](https://1.bp.blogspot.com/-MTy5keoRtuI/Xl4w9JwYKNI/AAAAAAALgrA/X3IicVJvfK8q9pUaGPPEvqQ_Q6pnNPr9ACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ulrich Matei amesema kuwa watuhumiwa walikuwa wanajihusisha na wizi kwa kutumia majina ya viongozi na wasanii kwa kusambaza ujumbe wa kuomba fedha kwa watu wengine wenye mahusiano ya viongozi na wasanii.
Wanaoshikiliwa na Jeshi hilo...
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA HEMED SALUM HEMED
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eCmJZoPDnbo/U7-YNzFsPvI/AAAAAAAF03g/AgxDw6gD2LU/s72-c/unnamed.jpg)
Utapeli wachukua sura mpya Iringa, mtandao wa waganga wa kienyeji matapeli wawatapeli wenzao 60 kwa kujifanya maofisa wa polisi
![](http://4.bp.blogspot.com/-eCmJZoPDnbo/U7-YNzFsPvI/AAAAAAAF03g/AgxDw6gD2LU/s1600/unnamed.jpg)
UTAPELI sasa wachukua sura mpya mkoani Iringa badaa ya baadhi ya waganga wa tiba asilia (Sangoma) kugeuziana kibao wenyewe kwa wenyewe kwa kuanza kufanyiana utapeli wa kutisha ikiwa ni pamoja na kujifanya maofisa wa polisi na kuwatapeli fedha wenzao zaidi ya 60.
Imedaiwa kuwa waganga hao matapeli wana mtandao wao na wamekuwa wakiwatumia askari wasio na maadili ya jeshi la polisi kwa kwenda kuwatisha waganga wachanga kwa madai kuwa ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaT1HaeGc9tU0fp7NdBsdvaF9IPWhWf6zKn1-Z5gRiz0jS7VIJc6Ehg-nsrsE6SktGU1mW2wuLWOzb81skbMHG3/dudub.jpg)
DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Aliyegombea ubunge asakwa na Polisi