ASAKWA NA POLISI KWA UTEKAJI
![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwKj6jWRIrCNuspO4xOIj-Pyi4sLM*S6Xhlqi266LIVcBlTLeXI4TpZkpj3K49iL67r603eDxsP4TAEGCmtZ-ueh/s.jpg?width=650)
Na Makongoro Oging’ JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar, linamsaka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Godfrey Mushi kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi Robert Ridoch Tillya ambaye ni mfanyakakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited. Godfrey Mushi anatafutwa na polisi kwa kosa la utekaji. Mushi ambaye awali alijitambulisha kwa Tillya kama ni askari polisi anadaiwa kufanya kosa hilo Februari 15,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZGGCrW1JrghMAqq3ADQZJj2svU94NXCqspAJM1lobdBl-GiEw1kFwZOn94LohU5YjqGmx2*lt0UfLe*HKPrb89hDSqoDlP32/12.jpg)
HEMED ASAKWA NA POLISI KWA UTAPELI
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LuTNVXBAINJvMa0f26Lyqsi3GVodq1SIDrR77d7Gzykzya88O4MXJ7u0WgMx9KPN*bL4VVmhPzwZTjcthCeSED*/IMG20140608WA0011_thumb2.jpg?width=650)
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qczRbbtLbS0/VJFatyIVm8I/AAAAAAAG3w8/9Wk2tcgyxKY/s72-c/images.jpg)
BREAKING NEWZZZ: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-qczRbbtLbS0/VJFatyIVm8I/AAAAAAAG3w8/9Wk2tcgyxKY/s1600/images.jpg)
MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari (pichani) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku December 16 katika eneo la Doli lililopo katika kijiji cha UsaRiver kwenye gari aina ya Land cruiser lenye namba za usajili T 753...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaT1HaeGc9tU0fp7NdBsdvaF9IPWhWf6zKn1-Z5gRiz0jS7VIJc6Ehg-nsrsE6SktGU1mW2wuLWOzb81skbMHG3/dudub.jpg)
DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Aliyegombea ubunge asakwa na Polisi
10 years ago
VijimamboSAKATA LA UTEKAJI WA WATOTO DAR, JESHI LA POLISI LAKANUSHA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha vikali juu ya uvumi unaoendelea jijini Dar es Salaam kuhusu utekaji nyara wa watoto wadogo wanaosoma shule.
Kutokana na Hivi karibuni umezuka uvumi kutoka kwa watu mbalimbali hasa wazazi ambao uvumi huu umewafikia kwamba kuna kundi la wahalifu wanaotumia gari aina ya NOAH rangi nyeusi ambao kazi yao ni kuteka nyara wanafunzi kwa nia ya kutenda uhalifu ikiwa ni pamoja na kuwachuna ngozi na madhara mengine.
...
9 years ago
StarTV20 Nov
Mtuhumiwa utekaji malori, uporaji ameuawa akijaribu Kumpora Silaha Polisi
Kijana mmoja aliyekuwa anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuteka malori matano eneo la Milade barabara kuu ya Singida-Mwanza na kuwapora abiria mali na fedha ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kumvamia askari na kumnyang’anya silaha ili atoroke chini ya ulinzi.
Kijana huyo Dotto Wiliam mwenye miaka 30 mkazi wa Kibaoni Mjini Singida anadaiwa kukiri kutega mawe barabarani na kupora, jana majira ya saa tano usiku na kukubali kwenda pori la Minyunge-Singida kuonesha bunduki aliyoficha...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Asakwa kwa kunyonga mtoto
JESHI la Polisi mkoani Geita linamsaka Shija Hamisi (28), mkazi wa Kijiji cha Ibamba kwa tuhuma za kumuua mtoto wake mwenye umri wa wiki mbili kwa kumnyonga kwa wivu wa...